Mtoto wa Baba JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 3,123 Reaction score 4,026 Oct 20, 2018 #81 TyreQ said: Hahahaa! Unapost pumba demu mzuri anai quote unashtuka....Unakufa Click to expand... Unaona demu mzuri jf unadhan n mtu siku unakutana naye unagungua n jini unazimia unakufa
TyreQ said: Hahahaa! Unapost pumba demu mzuri anai quote unashtuka....Unakufa Click to expand... Unaona demu mzuri jf unadhan n mtu siku unakutana naye unagungua n jini unazimia unakufa
macjay JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 371 Reaction score 409 Oct 20, 2018 #82 Castr said: Manina Siro katoa facts hadi mmechanganyikiwa. Click to expand... Siro katoa fact....unawaza hizo fact factin mpaka kichwa kinapata moto ..kinapasuka unakufa
Castr said: Manina Siro katoa facts hadi mmechanganyikiwa. Click to expand... Siro katoa fact....unawaza hizo fact factin mpaka kichwa kinapata moto ..kinapasuka unakufa
Bedui la bongo JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 297 Reaction score 306 Oct 20, 2018 #83 Unajamba kwa nguvu mpaka unachana mk*** unatoka damu unakufa
Don Vito JF-Expert Member Joined Jul 15, 2018 Posts 1,343 Reaction score 2,120 Oct 20, 2018 #84 ledada said: Unamwambia bae aweke mate uteleze kama nyoka pangoni, anaweka unateleza unakufa Click to expand... Chinekeee
ledada said: Unamwambia bae aweke mate uteleze kama nyoka pangoni, anaweka unateleza unakufa Click to expand... Chinekeee
ikhatibu JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 2,491 Reaction score 2,477 Oct 20, 2018 #85 baba swalehe said: Unaenda huko insane ... Unakufa Kwan insane ni wap mkuu tujuze tupajue Click to expand...
baba swalehe said: Unaenda huko insane ... Unakufa Kwan insane ni wap mkuu tujuze tupajue Click to expand...
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,118 Reaction score 5,368 Oct 20, 2018 #86 unajiita mfia chama, kesho unasikia mwenyekiti wa makamanda anahama chama ili kuunga mkono juhidi, anaanza kulia machozi yanatoka mengi mpaka maji yanaisha mwilini.. Unakufa
unajiita mfia chama, kesho unasikia mwenyekiti wa makamanda anahama chama ili kuunga mkono juhidi, anaanza kulia machozi yanatoka mengi mpaka maji yanaisha mwilini.. Unakufa
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,484 Reaction score 19,988 Oct 20, 2018 #87 ledada said: Aliyejuu mngoje chini, unamngoja anakuangukia unakufa Click to expand... Hahah!!, nimecheka kiboya
ledada said: Aliyejuu mngoje chini, unamngoja anakuangukia unakufa Click to expand... Hahah!!, nimecheka kiboya
A Arams Senior Member Joined Jun 14, 2015 Posts 133 Reaction score 195 Oct 20, 2018 #88 Mod atakayeupiga ban huu Uzi .....
TyreQ Senior Member Joined Oct 12, 2018 Posts 130 Reaction score 126 Oct 20, 2018 #89 Mtoto wa Baba said: Unaona demu mzuri jf unadhan n mtu siku unakutana naye unagungua n jini unazimia unakufa Click to expand... Unakutana na demu anajifanya jini halafu anakuta we ndo jini halisi anazimia.....kisha ANAKUFA
Mtoto wa Baba said: Unaona demu mzuri jf unadhan n mtu siku unakutana naye unagungua n jini unazimia unakufa Click to expand... Unakutana na demu anajifanya jini halafu anakuta we ndo jini halisi anazimia.....kisha ANAKUFA
TyreQ Senior Member Joined Oct 12, 2018 Posts 130 Reaction score 126 Oct 20, 2018 #90 Arams said: Mod atakayeupiga ban huu Uzi ..... Click to expand... Ana pararaizi vidole kisha Anakufa
Siafu na Manga JF-Expert Member Joined Aug 5, 2013 Posts 2,892 Reaction score 8,971 Oct 20, 2018 #91 Unaimba kwa Sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, anatoka anakugonga then Unakufa
Siafu na Manga JF-Expert Member Joined Aug 5, 2013 Posts 2,892 Reaction score 8,971 Oct 20, 2018 #92 Unajifanya hutak kupost Jokes/ujinga, unafikiria vitu vya maana akili inaku knock then unakufa
Nguvu moja JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 3,371 Reaction score 2,715 Oct 20, 2018 #93 Behaviourist said: Unatekwa tunaletewa SISI TV footage ambayo ipo very clear kuliko hata za wazungu ila tunashindwa kukupata hadi unakufa! Click to expand...
Behaviourist said: Unatekwa tunaletewa SISI TV footage ambayo ipo very clear kuliko hata za wazungu ila tunashindwa kukupata hadi unakufa! Click to expand...
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,206 Oct 20, 2018 #94 umelala usiku ukiwa ni mwanaume wa mkoani unashtuka asubuhi we ni mwanaume wa dar kwa mshutuko unakufa
umelala usiku ukiwa ni mwanaume wa mkoani unashtuka asubuhi we ni mwanaume wa dar kwa mshutuko unakufa
Condo rice Member Joined Jan 8, 2018 Posts 50 Reaction score 90 Oct 20, 2018 #95 Unawaonyesha waandishi ak 47 ya watekaji umeishika vibaya unajipiga risasi unakufa
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,596 Oct 20, 2018 #96 Jimmie Gatsby said: unaogopa ukimwi unatumia kinga kila game mara unatoka lodge unagongwa na gari unakufa Click to expand... Hiii unaweza lia huko kaburini
Jimmie Gatsby said: unaogopa ukimwi unatumia kinga kila game mara unatoka lodge unagongwa na gari unakufa Click to expand... Hiii unaweza lia huko kaburini
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Oct 20, 2018 #97 Shunie said: Bae na mchepuko wanatafuta wabebez wengine wanaendelea kukulana wewe unaendelea kufa Click to expand... πππ
Shunie said: Bae na mchepuko wanatafuta wabebez wengine wanaendelea kukulana wewe unaendelea kufa Click to expand... πππ
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,596 Oct 20, 2018 #98 Umeenda kununua kitu dukani unazidiwa change unatoka pale unakimbia mara gari inakugonga unakufa
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,597 Oct 20, 2018 #99 Hutaki nikushike,unashikwa na homa UNAKUFA...
Stephen Ngalya Chelu JF-Expert Member Joined Oct 31, 2017 Posts 8,286 Reaction score 18,546 Oct 20, 2018 #100 Unafanya ile kitu mbuzi kagoma kwenda, mara anaenda unapatwa na mshtuko, unakufa.