Uko mazishini, unalia kwa kusema marehemu rafiki yako arudi japo dakika moja tu akuage. Marehemu anasikia ombi lako, anafufuka, unastuka, Unakufa, naye kwa hasira anakufa. Mnakutana mbiguni, anakuuliza mbona ulikuwa unataka arudi akuage na yeye akarudi ukafa..huna jibu, anakupiga, unakufa.