faceoff007
Member
- Jun 3, 2018
- 62
- 141
Inaingia msg umeshinda biko 200m unaruka juu kwa furaha feni inakukata shingo unakufa 


Unachepuka, unakamatwa bae anakuacha na mchepuko unakuacha unapata sonona UNAKUFA







Bae na mchepuko wanatafuta wabebez wengine wanaendelea kukulana wewe unaendelea kufa






woiiiiUnachepuka, unakamatwa bae anakuacha na mchepuko unakuacha unapata sonona UNAKUFA
Bae nae anakamata rafiki ako anakunywa denda anakuwa dehydrated anakufa





Unatembea haraka haraka unajikwaa unapiga pumbu chini zinapasuka unakufaAliyejuu mngoje chini, unamngoja anakuangukia unakufa
Unatekwa tunaletewa SISI TV footage ambayo ipo very clear kuliko hata za wazungu ila tunashindwa kukupata hadi unakufa!