Wewe hata hujaelewa ninachokueleza hapa.Ni wajinga wenzako soon watanga'amua makosa na wataanza mchakato wa kuondoka .ushahidi ni mwingi ata humu jf asilimia kubwa ya watu wanaolalamikia kazi zao ni walimu .sijui kwanini we kenge unakaza fuvu
Yanisaidie nini sasa , we mwalimu mjinga endelea kukaza fuvu. Na kujislgamba na vi concept vya vitabuni .Wewe hujui mantiki ni nini, kwa sababu hata hiyo mantiki imeandikwa zaidi Kiingereza na wewe una inferiority complex ukiona Kiingereza tu.
Ndiyo maana nimekutajia jambo la mantiki, logical fallacy, halafu hujachukua hata muda kujifunza hili jambo maana yake ni nini, umerukia tu kukashifu Kiingereza kingi. Hujajifunza logical fallacy nikiyokuandikia ni nini, umetoa kashfa kwa logical fallacy nyingine ya ad hominem.
Non sequitur, then ad hominem.
Unaongeza logical fallacies tu.
Ndiyo maana hata ualimu wa kima cha chini umekushinda.
Wewe hata hujaelewa ninachokueleza hapa.
Ni sawa na naandika Kigiriki kwako.
Kwa sababu una kichwapanzi, huwezi kujadili mambo kimantiki.
Kuna watu wana uwezo wa ku survive na kufanya vizuri kwenye ualimu.
Kama wewe umeshindwa, sema wewe umeshindwa, usitake dunia nzima iuchukie ualimu kwa sababu wewe umeshindwa ualimu.
Magufuli kapigana kwenye ualimu, kaungaunga kafika mpaka chuo kikuu, kajiongeza mpaka kawa mbunge kafika katoboa mpaka kawa rais.
Wewe unalialia ualimu mbaya msiingie kwenye ualimu.
Ualimu = umaskiniUbaya wa ualimu ni nini mkuu, mleta mada?
Thibitisha pls.
Wewe ualimu umekudatisha una matatizo ya afya ya akili, unaandika kwa hasira na ad hominem attacks huwezi kujadiki mada, katafute counselling.Yanisaidie nini sasa , we mwalimu mjinga endelea kukaza fuvu. Na kujislgamba na vi concept vya vitabuni .
Ualimu = umaskini
Is this the best you can do?Kwenda huna lolote
Hoja ukiiona utaijua na kuijibu au utalalamika na kulialia tu?Kwenda huko huna hoja
Wewe unakiogopa Kiingereza ndiyo maana hata ualimu shule za maana hukuweza.Kwendaaa, kingereza kingi kumbe hamna lolote. π€£π€£π€£
Ivi wewe unafikiri kwamba we ndo unakijua kingireza kuliko watu wote eeh ?Wewe unakiogopa Kiingereza ndiyo maana hata ualimu shule za maana hukuweza.
Nani ataajiri mwalimu asiyejua Kiingereza shule za English Medium?
Usamehewe maana hulijui ulisemaloHii ndio the worst job ever, usikubali kuwa mwalimu liwalo na liwe ,bora ukaponde kokoto
Na ujue kingereza ni lugha kama lugha nyingine tu haina impact yyte katika mafanikio ya mtu sawa dogo.Ivi wewe unafikiri kwamba we ndo unakijua kingireza kuliko watu wote eeh ?
Hii statement yako ni proof tosha jinsi ulivyo egoistic. Sioni haja ya kuendelea kubishana na wewe.hopeless!
Daah Mzee Baba apa umenena hii Kada Kwa mwanamke Sawa lkn kama Una vision kubwa Hakka sio kaz hii hapa NI Sawa na kujiegeza ...mm NI tcha naelewaMwanamke powa, ila kwa mwanaume unajielewa kukubali kuwa mwl umezika ndoto zako zote ! Utakufa masikini !
Wewe hata Kiswahili hujui ndiyo maana umeandika "Kingireza" πππIvi wewe unafikiri kwamba we ndo unakijua kingireza kuliko watu wote eeh ?
Hii statement yako ni proof tosha jinsi ulivyo egoistic. Sioni haja ya kuendelea kubishana na wewe.hopeless!