Veta inapigiwa upatu kila kona na nchi naona...🤣Hii ndio the worst job ever, usikubali kuwa mwalimu liwali na liwe ,bora ukaponde kokoto
Mi sio mwalimu kwa sasa , ndugu jasusi eli cohen.ila niliwahi kuwa na mpk sasa bado naona kwa ndugu na marafiki jinsi ambavyo hii kada haijabadilika. The worst ever, ukitaka professional poverty ingia kwenye ualimu.Walimu mnapenda kulalamika sana utafikiri nyie ndio sekta yenye tabu na masimango sana wakati nyie ndio sekta yenye off time ya kutosha ya kufanya mambo mengine
SHAME!
Haahha professional poverty au sio 😁Mi sio mwalimu kwa sasa , ndugu jasusi eli cohen.ila niliwahi kuwa na mpk sasa bado naona kwa ndugu na marafiki jinsi ambavyo hii kada haijabadilika. The worst ever, ukitaka professional poverty ingoa kwenye ualimu.
Inalipa uzeeni huku mwanzo hutoona matunda ila ukishastaafu ndio utaona neema zake, vumilivu hula mbivuHii ndio the worst job ever, usikubali kuwa mwalimu liwalo na liwe ,bora ukaponde kokoto
Mpwayungu village amekana kauli hii.Namsikia akipaza sauti na kusema "walimu oyeeee"!Hii ndio the worst job ever, usikubali kuwa mwalimu liwalo na liwe ,bora ukaponde kokoto
Hoja yako isikilizwe,ni muhimu sanakada za ualimu na udaktari ni muhimu sana waongezewe posho na mshahara
Kuna kazi sio za kufanya kutengeneza pesa ni km unajitolea tu kwa ujira mdogoKwenye maisha changamoto zipo kila mahali ila ualimu ni upuuzi.
Ualimu una umuhimu kuna wenzio wakina nani yule wamecheza na chama cha kijani wamepewa ukatibu mkuu mtu alikua mwalimu shule ya msingi magomeni kageraAcha kuwatia moyo walimu wewe zereminus10, ualimu ni kuteseka from day q mpk siku unaingia kaburini
Walimu wanaoana wenyewe kwa wenyeweNa hutopata demu mzuri ngo' ukitongoza akajua tu we ni mwalimu ,demu huyooo
Raha ya maisha ni ukiwa na nguvu kulipwa uzeeni pesa inaishia kwenye matibabu ya magonjwa ya uzeeniInalipa uzeeni huku mwanzo hutoona matunda ila ukishastaafu ndio utaona neema zake, vumilivu hula mbivu