Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
- Thread starter
- #81
ila katika mapenzi wote tuko sawa ila nyie WANAUME ndo mmezidi
hapana nyie mmetuzidi kidogo sisi tunaweza tkawamudu hata wapenzi wawili au watatu kwa wakati mmoja ila nyie mkipenda mnapenda kweli ndo maana huoni polygamy za mwanamke kuolewa zaidi ya mwanaume mmoja.