Unakubali kuolewa halafu utaki kumzalia mwanaume aliyekuoa

mmmuhumba

JF-Expert Member
Nov 8, 2017
491
476
Ni tatizo kwa mwanamke au msichana kufanya maamuzi ya kukubali kuolewa kwa shangwe lakini akiwa ndani ya ndoa yake anakuwa hayuko radhi kubeba mimba ya mwanaume.

Tutajifunza kuwa muelekeo wa mapenzi kwa sasa uzingatia mambo mawili na yote ni ya msingi kwa maisha ya mtu:

1. Kufuata Hisia
2. Kufuata mahitaji

Wapo wanaolewa kufuata hisia zao za mapenzi kwa wanaume wanaowapenda ila wengine kuolewa kwa kufuata mahitaji ya maisha hivyo kuolewa na yoyote hata asiyewahi kumtarajia ili apate mahitaji yake.

Kwa sababu yoyote kati ya hizi kwa maamuzi yako bila kusukumwa na mtu, ni ajabu kuona au kusikia mtu ameoa ila aliyemuoa hataki abebe mimba yake, kwa mba yuko radhi kuishi nae ila siyo kumzalia mtoto.
Wanaume tunafanyaje hapa?

Wanawake inakuwaje mnakuwa hivi?

#karibu
 
#karibuView attachment 2569635
Pandisha cheo, awe mke mkubwa
 
Una mzalia? Hii kauli ya hovyo kabisa... Kwa nini usimjumuishe na yeye maana mtoto ni wenu wote? Mfumo wa hovyo kabisa huu
 
Samahan kwa kutumia lugha kwazo kwako, ila kubwa ni ujumbe na Kumzalia mwanaume ni neno sahihi, kwasababu mwanamke ni kiumbe changamani kitaalamu na kijamii huyu mtoto ni uamuz wa yeye kumbeba au kutombeba katika mwili wake, ndio maana mama usifika sana kuliko baba.
Ni zawad kubwa kwa mwanaume kuipokea kuliko chochote.
Hakika mwanamke mjamzito ni VVVVIP Duniani analindwa na mume, familia, dini mpaka serikali.
Ila ukishaolewa yaan ni maslahi ya wawil hili sio la kuomba, linakuwepo kwenye list labda iwe kuna tatizo kwa mwenza mmoja au wote na linapokelewa ni kawaida.
 
Simple as that, mwanaume haoi ili apnekane kuwa na yeye kaoa. Mwanaume anaoa atengeneze familia.

Sasa kama bidada ameolewa hataki kuonyesha ushirikiano ni bora aondoke maana hana umuhimu.
Ndio hii anaolewa na Shehe ila anampenda Bunda.
 
Ni tatizo kwa mwanamke au msichana kufanya maamuzi ya kukubali kuolewa kwa shangwe lakini akiwa ndani ya ndoa yake anakuwa hayuko radhi kubeba mimba ya mwanaume.

Tutajifunza kuwa muelekeo wa mapenzi kwa sasa uzingatia mambo mawili na yote ni ya msingi kwa maisha ya mtu:

1. Kufuata Hisia
2. Kufuata mahitaji

Wapo wanaolewa kufuata hisia zao za mapenzi kwa wanaume wanaowapenda ila wengine kuolewa kwa kufuata mahitaji ya maisha hivyo kuolewa na yoyote hata asiyewahi kumtarajia ili apate mahitaji yake.

Kwa sababu yoyote kati ya hizi kwa maamuzi yako bila kusukumwa na mtu, ni ajabu kuona au kusikia mtu ameoa ila aliyemuoa hataki abebe mimba yake, kwa mba yuko radhi kuishi nae ila siyo kumzalia mtoto.
Wanaume tunafanyaje hapa?

Wanawake inakuwaje mnakuwa hivi?

#karibu
Ndomana x wangu alitaka nibebe mimba kwanza nilimueshimu nikakubali kumbe ni kolo kama makolo wengine,,ningebebaga sijui ningekua wapi.
 
Samahan kwa kutumia lugha kwazo kwako, ila kubwa ni ujumbe na Kumzalia mwanaume ni neno sahihi, kwasababu mwanamke ni kiumbe changamani kitaalamu na kijamii huyu mtoto ni uamuz wa yeye kumbeba au kutombeba katika mwili wake, ndio maana mama usifika sana kuliko baba.
Ni zawad kubwa kwa mwanaume kuipokea kuliko chochote.
Hakika mwanamke mjamzito ni VVVVIP Duniani analindwa na mume, familia, dini mpaka serikali.
Ila ukishaolewa yaan ni maslahi ya wawil hili sio la kuomba, linakuwepo kwenye list labda iwe kuna tatizo kwa mwenza mmoja au wote na linapokelewa ni kawaida.

Akili huna
 
Hata Biblia imeandikwa mti usiozaa matunda hukatwa na kuchomwa mbali.Cha msingi ni kumfukuza aende akatafute wanakooa alafu hawabebi MIMBA.
 
Back
Top Bottom