mmmuhumba
JF-Expert Member
- Nov 8, 2017
- 491
- 476
Ni tatizo kwa mwanamke au msichana kufanya maamuzi ya kukubali kuolewa kwa shangwe lakini akiwa ndani ya ndoa yake anakuwa hayuko radhi kubeba mimba ya mwanaume.
Tutajifunza kuwa muelekeo wa mapenzi kwa sasa uzingatia mambo mawili na yote ni ya msingi kwa maisha ya mtu:
1. Kufuata Hisia
2. Kufuata mahitaji
Wapo wanaolewa kufuata hisia zao za mapenzi kwa wanaume wanaowapenda ila wengine kuolewa kwa kufuata mahitaji ya maisha hivyo kuolewa na yoyote hata asiyewahi kumtarajia ili apate mahitaji yake.
Kwa sababu yoyote kati ya hizi kwa maamuzi yako bila kusukumwa na mtu, ni ajabu kuona au kusikia mtu ameoa ila aliyemuoa hataki abebe mimba yake, kwa mba yuko radhi kuishi nae ila siyo kumzalia mtoto.
Wanaume tunafanyaje hapa?
Wanawake inakuwaje mnakuwa hivi?
#karibu