pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 5,039 Reaction score 3,927 Feb 8, 2013 #21 Mimi nakumbuka Bulicheka na kabila la wagagagigikoko.
ameline JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 2,292 Reaction score 1,152 Feb 8, 2013 #22 Baba V said: Hiyo ni hadithi ya Pazi mtoto aliyekuwa anawatesa wanyama na alikuwa akiwabeba kuku vichwa chini MIJUU GUU,akakutana na jogoo aliyesema HAPO ULIPOOO, Click to expand... aaaah!! kumbe,. nimeshakumbuka kama nlikisoma darasa la tatu au nne hivi
Baba V said: Hiyo ni hadithi ya Pazi mtoto aliyekuwa anawatesa wanyama na alikuwa akiwabeba kuku vichwa chini MIJUU GUU,akakutana na jogoo aliyesema HAPO ULIPOOO, Click to expand... aaaah!! kumbe,. nimeshakumbuka kama nlikisoma darasa la tatu au nne hivi
ameline JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 2,292 Reaction score 1,152 Feb 8, 2013 #23 Natasha Ismail said: Sikiri mimi masikini, Uvivu wangu nyumbani, ukiwa huu njiani, Napatatabu ya nini. Sadiki sasa ashiba, Chakula kingi kwa baba, endelezeni wazee wenzangu. Click to expand... Sadiki sasa ashiba, Chakula kingi kwa baba, narudi tena kwa baba, nakufa hapa kwanini? .......................... endeleen kuendeleza, nimekumbuka sana sana
Natasha Ismail said: Sikiri mimi masikini, Uvivu wangu nyumbani, ukiwa huu njiani, Napatatabu ya nini. Sadiki sasa ashiba, Chakula kingi kwa baba, endelezeni wazee wenzangu. Click to expand... Sadiki sasa ashiba, Chakula kingi kwa baba, narudi tena kwa baba, nakufa hapa kwanini? .......................... endeleen kuendeleza, nimekumbuka sana sana
MZIMU JF-Expert Member Joined Apr 29, 2011 Posts 4,058 Reaction score 1,377 Feb 9, 2013 #24 Mimi nilikua na ogopa sana. Nilidhani kweli.
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,921 Feb 9, 2013 #25 omben said: tujikumbushe kwa wale walio soma miaka 1992 kurudi nyuma. Click to expand... jogoo aliesema
omben said: tujikumbushe kwa wale walio soma miaka 1992 kurudi nyuma. Click to expand... jogoo aliesema
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,921 Feb 9, 2013 #26 ameline said: haaa!! We unasema kutengana na baba wakati wengine hata hatujazaliwa jamani? Kwanza hata hatujafikiriwa? Click to expand... kumbe wewe bado mbichi kabisa hongera
ameline said: haaa!! We unasema kutengana na baba wakati wengine hata hatujazaliwa jamani? Kwanza hata hatujafikiriwa? Click to expand... kumbe wewe bado mbichi kabisa hongera
ameline JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 2,292 Reaction score 1,152 Feb 9, 2013 #27 taamu said: kumbe wewe bado mbichi kabisa hongera Click to expand... ahsante ila mbichi kias bwana si kabisa
taamu said: kumbe wewe bado mbichi kabisa hongera Click to expand... ahsante ila mbichi kias bwana si kabisa
akenajo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 1,634 Reaction score 613 Feb 9, 2013 #28 Nakumbuka huu ndio ule mtaala wa mwisho kuwepo tz ndio mlisoma vitabu hivi
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,921 Feb 11, 2013 #29 ameline said: ahsante ila mbichi kias bwana si kabisa Click to expand... mbichi kabisa utamu wako unaonekana hata katika maandishi yako,habari za asubuhi
ameline said: ahsante ila mbichi kias bwana si kabisa Click to expand... mbichi kabisa utamu wako unaonekana hata katika maandishi yako,habari za asubuhi
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,550 Reaction score 2,200 Feb 9, 2020 #30 Nyumbani kwa Mzee Tora