Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,604
- 1,704
Mkuu GC unaikumbuka mechi ya fainali ya UCL ya mwaka 200 lakini kati ya Real madrid na Valencia pale Stade de France...Valencia alipata kipigo cha mbwa mwizi aisee,bao 3-0..Vikosi vya gemu hiyo vilikuwa hivi:
Real Madrid
1.Iker Casillas
2.Michel Salgado
3.Roberto Carlos
4.Aitor Karanka
5.Ivan Campo(manywele)
6.Ivan Helguera
7.Steve McManaman
8.Fernando Redondo(Nahodha)
9.Fernando Morientes
10.Raul Gonzalez
11.Nicolas Anelka
Valencia
1.Santiago Canizares
2.Jocelyn Angloma
3.Gerardo Garcia
4.Mauricio Pellegrino
5.Miroslav Ducik
6.Javier Farinos
7.Gaizka Mendieta(Nahodha)
8.Gerard Lopez
9.Miguel Angel Angulo
10.Claudio Lopez
11.Kily Gonzalez
Valencia walidebweda sana siku hiyo...Magoli ya vifaa Madrid yalifungwa na Morientes,McManaman na Raul
Huyo Redondo alikuwa balaa. Unakumbuka lile tobo alilompiga beki wa Man U? Ile mecho mashetani wekundi kamwe hawataisahau!