Unakikumbuka kikosi hiki?

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,301
4,681
Katika ukurasa hii kila mzalendo atakuwa na haki ya kutukumbusha kikosi cha timu na akumbushe pia ni tukio gani lililopelekea asikisahau kikosi hicho.

Kwa kuanzia basi naanza na kikosi cha Gor Mahia toka Kenya.
Kikosi ambacho kilifuta uteja kwa wababe wao enzi hizo timu ya FC Leopard...

1) Dan Odhiambo
2) Thobias Ocholla ''jua kali''
3) Peter otieno ''Basanga''
4) John Bobby Ogolla
5) Austin Oduor
6) Abbas Khamis Magongo
7) John Okelo ''Zangi''
8) Sammy Owino ''Kempes''
9) William Ouma Chege
10) George Onyango ''Fundi''
11) Sammy Onyango ''Jogoo''
 
mzee wa kazi vipi,
naona BRAZIL BILA MTAKATIFU GAUCHO INAWEZEKANA
 
1-Okala
2-Vaa shati twende
3-Ukija na uje
4-Ukikaa Uchi watisha
5-Uchimbwambie Ntu
6-Buji
7-Nchanja Kuni
8-Chupaki
9-Uchieme wala uchupumue
10-Ukichuka Nchale Ukikaa juu Nchale
11-Achumani Nchikichi Mmakonde pekee yake,
hicho ni kikosi cha timu ya Machava kutoka Nampula nchini NCHUMBIJI
 
1. Mohamed Mwameja
2. Kassongo Athuman
3. Deo Mkuki
4. Godwin Aswile
5. George Masatu
6. Hussein Marsha
7. Athuman China
8. Ramadhan Rennry
9. Mallota Soma
10. Damian Kimti
11. Edward Chumila
 
Kaka hiyo ni Gor Mahia ya Kenya Miaka ya 1980s walitisha sana hao jamaa. Huo Abbas Hamis Magongo ni Mbongo huyo baba alikuwa anaupiga si mchezo alikuwa PAMBA ya mwanza huyooooooooo
 
Salim waziri
Saidi korongo
Deogratis muhani
Idrisa ngulungu
Yassin napil
Ally maumba
Ally jangalu
Kassa Mussa
Juma mgunda
Husein mwakuluzo
Razzack yusuph Careca...

Nani anaikumbuka hiyo timu?
 
Santiago canizares
Jocelin angloma
Amedeo carboni
Jimmy peregrino
Roberto ayala
David albelda
claudio lopez
Ruben Baraja
Joh carew
Sanchez
Angulo

Hiyo ni Valencia kiboko ya Arsenal...
 
1.Benjamin Mkapa
2.Mzee Lowasa
3.Gavana Balali
4.Rostam Azizi
5.Mama Anna Mkapa
6.......
7.......
8......
9.......
10..........
11........
karizefu
1.............
2..........
3............
refaliiii
1......
ranzimaniz
1.......
2...........

Hicho ni kikosi cha mafisadi
 
1. Mohamed Mwameja
2. Kassongo Athuman
3. Deo Mkuki
4. Godwin Aswile
5. George Masatu
6. Hussein Marsha
7. Athuman China
8. Ramadhan Rennry
9. Mallota Soma
10. Damian Kimti
11. Edward Chumila

Kaka wachan na hii Simba bana ilikuwa si mchezo
 
Salim waziri
Saidi korongo
Deogratis muhani
Idrisa ngulungu
Yassin napil
Ally maumba
Ally jangalu
Kassa Mussa
Juma mgunda
Husein mwakuluzo
Razzack yusuph Careca...

Nani anaikumbuka hiyo timu?

Hata kama ningekuwa nimesahau majina mengine lakini hayo mawili yangenambia ni Coastal Union ya Tanga enzi zao wako kiukweli na African Sports yaani ni kama Simba na Yanga, siku hizi je? Waulize wagosi wakaya
 
Umesahau Jonathan Niva?

Na hawa ndio walivaa Asante Kotoko enzio hizo

1 Elias Michael
2. Hamisi Kitenge
3. Boi Wickens
4. Hassan Gobos
5. Omari Kapera
6. Gilbert Mahinya (Machine)
7. Awadh Gessan
8. Abdulrahman Juma
9. Kitwana Manara
10. Maulid Dilunga
11. Juma Bomba
2
2.
 
Santiago canizares
Jocelin angloma
Amedeo carboni
Jimmy peregrino
Roberto ayala
David albelda
claudio lopez
Ruben Baraja
Joh carew
Sanchez
Angulo

Hiyo ni Valencia kiboko ya Arsenal...

Mkuu,tuko pamoja sana hapa...Ila hiki kikosi hakita msahau Madrid kwenye fainali ya UCL aisee....Ila Valencia wamekuwa mdebwedo sana kipindi hiki aiseee.....Natoka kidogo nitakuja,umenifikisha hapa asiee
 
Santiago canizares
Jocelin angloma
Amedeo carboni
Jimmy peregrino
Roberto ayala
David albelda
claudio lopez
Ruben Baraja
Joh carew
Sanchez
Angulo

Hiyo ni Valencia kiboko ya Arsenal...

Hapo umewasahau Kily Gonzalez,Gaizka Mendieta(Nahodha),Juan Sanchez na Miguel Angel Angulo...Hivi vijamaa vilikuwa vyatuonea sana Arsenal aisee,ila kwa Madrid ilikuwa breki
 
1.Iker Casillas
2.Michel Salgado
3.Roberto Carlos
4.Aitor Karanka
5.Fernando Hierro
6.Ivan Helguera
7.Savio Bortolini
8.Fernando Redondo(Nahodha)
9.Fernando Morientes
10.Raul Gonzalez
11.Davor Suker
 
Mkuu GC unaikumbuka mechi ya fainali ya UCL ya mwaka 200 lakini kati ya Real madrid na Valencia pale Stade de France...Valencia alipata kipigo cha mbwa mwizi aisee,bao 3-0..Vikosi vya gemu hiyo vilikuwa hivi:

Real Madrid
1.Iker Casillas
2.Michel Salgado
3.Roberto Carlos
4.Aitor Karanka
5.Ivan Campo(manywele)
6.Ivan Helguera
7.Steve McManaman
8.Fernando Redondo(Nahodha)
9.Fernando Morientes
10.Raul Gonzalez
11.Nicolas Anelka

Valencia
1.Santiago Canizares
2.Jocelyn Angloma
3.Gerardo Garcia
4.Mauricio Pellegrino
5.Miroslav Ducik
6.Javier Farinos
7.Gaizka Mendieta(Nahodha)
8.Gerard Lopez
9.Miguel Angel Angulo
10.Claudio Lopez
11.Kily Gonzalez

Valencia walidebweda sana siku hiyo...Magoli ya vifaa Madrid yalifungwa na Morientes,McManaman na Raul
 
Hapo umewasahau Killy Gonzalez,Gaizka Mendieta(Nahodha),Juan Sanchez na Miguel Angel Angulo...Hivi vijamaa vilikuwa vyatuonea sana Arsenal aisee,ila kwa Madrid ilikuwa breki

Mkongwe mwenzangu angulo yupo namba kumi na moja...mcheki vizuri.
Hiyo game Gaizka na killy wameumia sheikh ndo maana sikuwajumuisha....
Ila ni kweli walikula 3 then wakajiuliza nxt season na bayern wakalala kwa penati...
Hivyo vikosi vyote kocha ni hector cuper
 
Hapo umewasahau Kily Gonzalez,Gaizka Mendieta(Nahodha),Juan Sanchez na Miguel Angel Angulo...Hivi vijamaa vilikuwa vyatuonea sana Arsenal aisee,ila kwa Madrid ilikuwa breki

Mbona sioni jina la kiungo Pablo Aimar?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom