Unakikumbuka hiki kibwagizo???

Kwanza rudia kuimba ule mwimbo wako, uliokua unamuimbia mwanao, kwakua kuna wenzangu wengine wameshausahau! Then tutafanya majumuisho.

Acha kumzingua daddy angu bana.... Btw vp ndoa yako iliishia wapi????
 
Wembe wa kucha,,,cha,
chakula kitamu,,,mu
Mungu mkubwa ...bwa

bwawa la samaki...ki..king majuto..to..tone la maji ..ji ,.jitu la kale..le ..lenye madevu(li Bishanga) vu..vumbua dhahabu bu..bubu hasemi mi..mimi mdogo..go..gogo la mti ..ti,tina na mjuba..baba wa kambo..mbona wanitesa,sasa naondoka..kaa peke yako..koma kunipiga..gari linapita..taarabu imo?(Mi ipo)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom