Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,086
- 34,883
Wamekuwa bidhaa adimu sasa bei juu sana
Cc farkhina!!Njoo na ubwabwa!
Hahahahahh na pilipili mbuzi na vimaji vibaridiiiii nimekula sana kipindi kilee hadi nlifkir mtoto atakuja na kijipande cha pweza mkononi lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
dah siwapendi hawa wadudu lol!!!
dah nishajaribu kuwapenda lakini imeshindikana yaani nikiwaona tu roho yangu inachafuka huwa nawashngaa sana ndugu zangu wanaotoa hela zao na kuwanunua,ila najua akipendacho mtu chake,ila kwangu mimi kuja kuwapenda hawa labda sio katika dunia hii baadae sana.nikijitahidi sana nitakunywa supu yao ila sio wao kha!!!Loh! mtani hupendi pweza? unakosa raha, ukija ntwara ntakufundisha kuwala, yani mwenyewe utasahau wale kambale wa Rufiji.
dah nishajaribu kuwapenda lakini imeshindikana yaani nikiwaona tu roho yangu inachafuka huwa nawashngaa sana ndugu zangu wanaotoa hela zao na kuwanunua,ila najua akipendacho mtu chake,ila kwangu mimi kuja kuwapenda hawa labda sio katika dunia hii baadae sana.nikijitahidi sana nitakunywa supu yao ila sio wao kha!!!
DUH MIMI NDO NIKUPE POLE MTANI NAONA KAMA UNAJIDHULUMU NAFSI,YAANI VITU VYOTE VITAMU VILIVYOJAA TANZANIA HII IWEJE UHANGAIKE NA HAWA WADUDU HAWAELEWEKI WANA MIKIA MIGUU AU MIKONO??LOL!! WAPPO KAMA MPIRA NAHISI HAWATAFUNIKI(sory kwa mnaowapenda)Pole sana mtani, yani hizo picha zinanitoa mate hadi napiga mahesabu ya kwenda feri, manake wa huku mtaani naona ntakuwa sifaidi.
Sasa kule kwetu huyu anaungwa kwa nazi na kiungo cha embe halafu unamla na wali wa nazi.
Kwa hivyo mjomba hana shida ya lishe kwani pweza anashusha lishe vizuri!