ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
- Thread starter
-
- #121
Hii Mada Mufilisi, Avalishwe Pampas Akalale, Haiwezekani Useme Mtangazaji Ali Jiandaa Vizuri! Akataja Jina La Mwangosi, Sasa Inakuwaje Ashindwe Kutaja Chademe? Wee Jamaa Uwezo Wakutransulate Darasa La Pili, Ndio Tatizo Lako! Himwiko Kumfananisha Slaa Na Yule Anae Dai Zanzibar Ili Ungana Na Zimbabwe! Kalale
Ni kweli kabisa. Kama kungekuwa na uwajibikaji katika kazi na kukamata mafisadi kama wewe, ningerudi ccm. Hiyo ndiyo ccm ninayoijua mimi. Sio hii yenu ya magamba mafisadi na dhaifu.
JK kwenye press conf na Obama alisema "This question is asked one by one to me" yaani hili swali limeulizwa moja kwa moja kwangu. Hebu tuachane na hayo, ZeMarcopolo soma neno hili hapa chini:
Characteristic.
Yuko chimbo anajifunza namna ya kutekeleza BRN ili kumaliza tatizo la walimu nchini bila kuboresha maslahi yao!
Baada ya hapo atakwenda kuandaa paper kwa ajili ya utekelezaji wa sera ya ujenzi wa fly overs za Dar es slaam!
Karaktaristik
tatizo vingereza vilikua vingi mpaka kashindwa kuelewa kama imetamkwa kadima au chadema..wazee wa kadimaSlaa alitakiwa kumrekebisha mtangazaji kuwa Chama Chake sio KADIMA ni Chadema ila tatizo la Slaa ni lack of confidence anadhani ni sahihi kwa mmarekani kukosea jina la chama chake!!!
Dah, kumbe kauli ya Slaa imewarudisha wengi CCM...
Kwa hiyo CHADEMA kutamkwa Kadima siyo kosa, kama charac......cs inatamkwa ka.... Hakuna cha ajabu hapo.
Udhaifu wa ccm mtaji kwa vyama vya upinzani. Asante Mungu kwa kutupa raisi dhaifu.
makopo weka link tusikilize hapa huitaji kutuelezea wakati mtu kaongea, audio and video ipo nini tatizo au kuna aliyekutuma kuwatafsiria???
Kuna mdau kaweka clip hapa. Ukiitafuta utipata. Slaa katia aibu sanaa!!!
[Iii wapiii??? jibu kwa kuniwekea link hapa otherwise huna unaloongea, nothing.]
Leo Slaa alikuwa anahojiwa na redio na WPFW Radio ya Washingyon DC Marekani.
1. Mara kadhaa Slaa alishindwa kutamka jina la kipindi anachohojiwa. Jambo hilo lilimfanya mtangazaji kumkumbusha several times kuwa kipindi kinaitwa africaNow baada ya Slaa kukiita AfricaOne. Tone ya mtangazaji ilionyesha wazi kuwa amechukizwa na lack of memory ya Slaa. Kwa wamarekani, kukosea jina la mtu ni offence ndio maana huyu mtangazaji alijisikia offended slaa kukoseakosea jina la kipindi chake.
..[/COLOR]
Iii wapiii??? jibu kwa kuniwekea link hapa otherwise huna unaloongea, nothing
acha ukilaza wewe hivi kati ya Slaa aliyekuwa anasema AfricaOne badala ya AfricaNow ma huyo mtangazaji aliyekuwa anasema KADIMA badala ya CHADEMA nani alikuwa anakosea zaidi na nani unadhani alitakiwa kukasirika zaidi?
Kadima na Likud ni vyama vya taifa la Israel, hivyo si ajabu mtangazaji ku kukosea na kufananinsha moja ya chama kikubwa kama Kadima