Unakijua Chama Cha KADIMA?

Unakijua Chama Cha KADIMA?

ZeMarcopolo

Platinum Member
Joined
May 11, 2008
Posts
14,279
Reaction score
7,681
Leo Slaa alikuwa anahojiwa na redio na WPFW Radio ya Washingyon DC Marekani.

Katika mahojiano hayo Dr. Slaa ametia aibu mno, lakini kilichosikitisha zaidi ni kwamba mtangazaji wa kipindi hicho Mwiza Munthali alishindwa kabisa kutamka neno CHADEMA na kila mara alikiita chama cha Slaa KADIMA.

Kwa lugha nyepesi ni kwamba interview ya Slaa imeshindwa hata kuuza jina la chama!

Kuna mambo kadhaa ambayo Slaa ameaibisha kama ifuatavyo:

1. Mara kadhaa Slaa alishindwa kutamka jina la kipindi anachohojiwa. Jambo hilo lilimfanya mtangazaji kumkumbusha several times kuwa kipindi kinaitwa africaNow baada ya Slaa kukiita AfricaOne. Tone ya mtangazaji ilionyesha wazi kuwa amechukizwa na lack of memory ya Slaa. Kwa wamarekani, kukosea jina la mtu ni offence ndio maana huyu mtangazaji alijisikia offended slaa kukoseakosea jina la kipindi chake.

2. Slaa alishindwa kujibu Chadema itafanya nini tofauti na CCM. Slaa aliishia kusema kuwa CCM ina sera nzuri sana na kwamba wao watakachofanya ni kuhakikisha sera za CCM zinatekelezwa kwa ufasaha zaidi. Wasikilizaji wa Marekani wakisikia hadithi kama hizo wanaona mtu anayesema hivyo is just a job seeker. Wamerakani wanataka kusikia tofauti ya sera, sio siasa za kusema mimi ndio ninajua zaidi kutekeleza sera za mwenzangu!!! Hapa Slaa kaabisha big time.

3. Mtangazaji alidhihirisha kuwa hamuamini Slaa kwa porojo zake mpaka akamwambia hapo inabidi tupate upande wa serikali nao tuusikie unasemaje. Slaa alizidisha chumvi.

4. Mtangazaji amefanya home work yake. Anajua composition ya parliament. Slaa alimdanganya mtangazaji kuwa Chadema (Kadima) ndio chama chenye absolute majority nchini Tanzania. Mtangazaji akamwambia lakini Bungeni mko wachache na chama chenu hakijapenetrate vijijini. Slaa akadanganya tena kuwa eti Chadema (Kadima) ina wafuasi wengi vijijini kuliko mijini. This is not true.
Kadima haina absolute majority kwenye Bunge wala mitaani. Slaa alidhani mtangazaji wa Marekani hajui mambo ya Tanzania, kumbe mtangazaji kajiandaa.

5. Slaa alianza kuongea hadithi za Mwangosi. Mtangazaji akamdhihirishia kuwa anaijua hadithi ya Mwangosi kwa undani na akamtajia jina la Mwangosi kabla hata slaa hajalitaja. Mtangazaji alishajua kuwa Mwangosi ndio single anayotumia Slaa ughaibuni kutafuta sympathy. Hata hivyo mtangazaji alibadilisha topic na kumuuliza Slaa mambo mengine kabla hajamaliza kusimulia hadithi yake pendwa ya Mwangosi.

Kiujumla Slaa katika majadiliano ya leo ametia aibu na ameshindwa kuinadi KADIMA kabisa!!!

My take:
Tunapowaambia kuwa Chadema (KADIMA) ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya Kilaghai ndio muelewe nini tunamaanisha. Slaa kashaanza kuwageuka, sasa hivi anasema CCM ina sera nzuri.

Nyinyi kama mlikuwa mnaitukana CCM mwishowe mtajikuta kawaacha njia panda.

Ameenda Marekani amekuta sera za CCM zinasifiwa na yeye ameanza kusema ni sera nzuri!!!

Akili Kichwani, safari barabarani. Wajinga ndio waliwao...
 
Daaaaah! Ni aibu kubwa sana kwa Dr. Slaa na KADIMA.

Mzee kumbukumbu hana zimeanza kupotea. AfricaNow na AfricaOne wapi na wapi?

Dr. Slaa pumzika ulee watoto wako.
 
Slaa alitakiwa kumrekebisha mtangazaji kuwa Chama Chake sio KADIMA ni Chadema ila tatizo la Slaa ni lack of confidence anadhani ni sahihi kwa mmarekani kukosea jina la chama chake!!!
 
Inakuwaje mtu mzima kama Dr. Slaa anadanganya kwenye vyombo vya habari?

CHADEMA imchukulie hatua.
 
hebu tamka neno chaos au character kwa kizungu!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Leo Slaa alikuwa anahojiwa na redio na WPFW Radio ya Washingyon DC Marekani.

Katika mahojiano hayo Dr. Slaa ametia aibu mno, lakini kilichosikitisha zaidi ni kwamba mtangazaji wa kipindi hicho Mwiza Munthali alishindwa kabisa kutamka neno CHADEMA na kila mara alikiita chama cha Slaa KADIMA.

Kwa lugha nyepesi ni kwamba interview ya Slaa imeshindwa hata kuuza jina la chama!

Kuna mambo kadhaa ambayo Slaa ameaibisha kama ifuatavyo:

1. Mara kadhaa Slaa alishindwa kutamka jina la kipindi anachohojiwa. Jambo hilo lilimfanya mtangazaji kumkumbusha several times kuwa kipindi kinaitwa africaNow baada ya Slaa kukiita AfricaOne. Tone ya mtangazaji ilionyesha wazi kuwa amechukizwa na lack of memory ya Slaa. Kwa wamarekani, kukosea jina la mtu ni offence ndio maana huyu mtangazaji alijisikia offended slaa kukoseakosea jina la kipindi chake.

2. Slaa alishindwa kujibu Chadema itafanya nini tofauti na CCM. Slaa aliishia kusema kuwa CCM ina sera nzuri sana na kwamba wao watakachofanya ni kuhakikisha sera za CCM zinatekelezwa kwa ufasaha zaidi. Wasikilizaji wa Marekani wakisikia hadithi kama hizo wanaona mtu anayesema hivyo is just a job seeker. Wamerakani wanataka kusikia tofauti ya sera, sio siasa za kusema mimi ndio ninajua zaidi kutekeleza sera za mwenzangu!!! Hapa Slaa kaabisha big time.

3. Mtangazaji alidhihirisha kuwa hamuamini Slaa kwa porojo zake mpaka akamwambia hapo inabidi tupate upande wa serikali nao tuusikie unasemaje. Slaa alizidisha chumvi.

4. Mtangazaji amefanya home work yake. Anajua composition ya parliament. Slaa alimdanganya mtangazaji kuwa Chadema (Kadima) ndio chama chenye absolute majority nchini Tanzania. Mtangazaji akamwambia lakini Bungeni mko wachache na chama chenu hakijapenetrate vijijini. Slaa akadanganya tena kuwa eti Chadema (Kadima) ina wafuasi wengi vijijini kuliko mijini. This is not true.
Kadima haina absolute majority kwenye Bunge wala mitaani. Slaa alidhani mtangazaji wa Marekani hajui mambo ya Tanzania, kumbe mtangazaji kajiandaa.

5. Slaa alianza kuongea hadithi za Mwangosi. Mtangazaji akamdhihirishia kuwa anaijua hadithi ya Mwangosi kwa undani na akamtajia jina la Mwangosi kabla hata slaa hajalitaja. Mtangazaji alishajua kuwa Mwangosi ndio single anayotumia Slaa ughaibuni kutafuta sympathy. Hata hivyo mtangazaji alibadilisha topic na kumuuliza Slaa mambo mengine kabla hajamaliza kusimulia hadithi yake pendwa ya Mwangosi.

Kiujumla Slaa katika majadiliano ya leo ametia aibu na ameshindwa kuinadi KADIMA kabisa!!!

Siku zote ukiwa na akili fupi utachukulia mambo kiufupiufupi, kama unasema CHADEMA haijaenea vijijini ebu jiulize kwa nini katika chaguzi ndogo mbalimbali zilizofanyika ambazo zilihusu Wenyeviti wa vitongoji, wenyeviti wa vijiji CHADEMA ilingara? je na chaguzi hizo waliopiga kura walitoka mijini?

Hapo kwenye RED jipange upya kwani unaleta vitu vya kusadikika sababu tu akili yako imekupeleka huko.
 
Inakuwaje mtu mzima kama Dr. Slaa anadanganya kwenye vyombo vya habari?

CHADEMA imchukulie hatua.

Uongo umekuwa tatizo sugu kwa Slaa. leo ameleta picha akipewa zawadi ambayo anasema mtu pekee aliyewahi kupewa ni Rais wa Marekani. Zawadi yenyewe ni ki souvenir cha NASA!!!
 
Kwamba CHADEMA haina majority kwa kambi ya Upinzani Bungeni?Hivi kumbe kiingereza ni tatizo kubwa hivi?
 
Uongo umekuwa tatizo sugu kwa Slaa. leo ameleta picha akipewa zawadi ambayo anasema mtu pekee aliyewahi kupewa ni Rais wa Marekani. Zawadi yenyewe ni ki souvenir cha NASA!!!

Kwamba CHADEMA haina majority kwa kambi ya upinzani?Jifunze kiingereza.
 
Siku zote ukiwa na akili fupi utachukulia mambo kiufupiufupi, kama unasema CHADEMA haijaenea vijijini ebu jiulize kwa nini katika chaguzi ndogo mbalimbali zilizofanyika ambazo zilihusu Wenyeviti wa vitongoji, wenyeviti wa vijiji CHADEMA ilingara? je na chaguzi hizo waliopiga kura walitoka mijini?

Hapo kwenye RED jipange upya kwani unaleta vitu vya kusadikika sababu tu akili yako imekupeleka huko.

tatizo lako ni kutumia nadharia kwatika vitu vinavyohitaji vitendo. Umesikiliza majadiliano ya Slaa?

Umesikia jibu alilotoa kuhusu nini Chadema (Kadima) itafanya tofauti na CCM? Slaa amekiri kuwa CCM ina sera nzuri.
 
unaelewa maana ya absolute majority?

Umemsikiliza katibu mkuu wa Kadima?

KADIMA ni Chama cha siasa nchini Israel.

Mahojiano ya leo umesumbuliwa na accent kwa kuwa hujazoea kusikia pronounciation kutoka accent mbalimbali.Ushamba unakusumbua.Unahitaji Exposure.!

Jaribu hata kujichanganya kwenye warsha zinazohusisha foreigners basi.
 
Kwamba CHADEMA haina majority kwa kambi ya upinzani?Jifunze kiingereza.

Wewe inaelekea hujasikiliza majadiliano ila uko hapa kutetea ajira yako tu.

Endelea kumlea mtoto wa Josephine mpaka mwenyewe atakaporudi kutoka mapumzikoni Marekani.
 
Kadima=chadema
Africaone=africa now
Alafu wamarekani wanachukia mtu akikosea jina???????mbna sielewi hapa!!mleta mada ebu jifkilie kabla ya kuleta mada hapa.
 
Back
Top Bottom