Unakaribia kuoa na umekutana na hili

Unakaribia kuoa na umekutana na hili

Oa uliye panga kuoa,kweni yeye wa sasa ulipanga kumuoa ukiwa humpendi?na huyo aliyekua masomoni kama hamkua na mawasiliano ya kuoana ni wa nini sasa? We umejawa na tamaa baada ya kumuona huyu wa zamani amekua kama mpya,ukibeba huyo itakula kwako huko mbeleni afu uje utusumbue tena

MysweetL

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Ila mi demu
 
Me ningeoa tu kwasababu hadi ufikie hatua hiyo sio kitu kidogo, imagine mtu ameenda masomoni mmepotezana kwa mda mrefu inshort huyajui maisha yake kabisa tangu mpotezane alafu uje umkimbilie kwa kigezo cha kuwa alikuanzishia dunia ya mahaba. Binafsi mimi siwezi
Wewe ndio ulimuanzishia dunia ya mahaba
 
ukibadili mawazo lazima huyo uliyemtolea mahali akuroge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom