Unakaribia kuoa na umekutana na hili

Unakaribia kuoa na umekutana na hili

MysweetL

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
314
Reaction score
340
Yaani umeshatoa posa bado tarehe yakuoa tu ila mko kwenye vikao gafla katika kuhangaika huku na kule ukakutana na mwanamke wako uliyemuanzishia dunia ya mahaba na ulikuwa unampenda mliachana baada ya yeye kwenda masomoni .

Sasa karudi utafanyaje? Utasitisha ndoa Au utaoa?
 
Ukila hela ya mtu utatolewa mshipa

Seek respect, not attention. It lasts longer
 
Unamwacha tu, unamchukua aliyekuwa huko nje ili upambane na ma X internationals. Wahi hii corona ili wasitembelee Tz kabla hujalipa mahari.
 
Me ningeoa tu kwasababu hadi ufikie hatua hiyo sio kitu kidogo, imagine mtu ameenda masomoni mmepotezana kwa mda mrefu inshort huyajui maisha yake kabisa tangu mpotezane alafu uje umkimbilie kwa kigezo cha kuwa alikuanzishia dunia ya mahaba. Binafsi mimi siwezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom