mangosongoo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 256
- 464
Mim sijutii chochote.
Ndugu zake wanalisimamia nimepanda mitiNa analima yeye au 😂?
Aisee sasa nifanyaje??Dah ushawanunulia ili shamba bila ww kujua
Mkuu nimeshaji-apiza abadani sitafanya tena, daah najutia mnoo, nyieee....!Usipende kujalibu kila kitu mkuu
Halooo...!!!Kuna bomba linapenywezwa litoe uchafu
Wazuri hawafi mkuu.Ukifa gafla
Muulize Mzee makambaUsijidanganye
Sio kweli.Wewe wazuri wanakufa mapema sana