call me T JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 291 Reaction score 393 Sep 2, 2018 #1 Eti Unajuaje kama ‘umelewa’? Sent using Jamii Forums mobile app
N ndayilagije JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 7,490 Reaction score 8,305 Sep 2, 2018 #2 Ukianza kusipiki inglishi tu jua tayari. Ameeeen.[emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
Ukianza kusipiki inglishi tu jua tayari. Ameeeen.[emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
Majan JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 1,318 Reaction score 1,914 Sep 9, 2018 #3 ukia tway said: Eti Unajuaje kama ‘umelewa’? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ukianza kumuona kila barmed mzuri
ukia tway said: Eti Unajuaje kama ‘umelewa’? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ukianza kumuona kila barmed mzuri
call me T JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 291 Reaction score 393 Sep 9, 2018 Thread starter #4 Majan said: ukia Ukianza kumuona kila barmed mzuri Click to expand... Nahc hata hapa nishaanza kulewa maana nilivyo ingia na sasa naanza waona tofaut
Majan said: ukia Ukianza kumuona kila barmed mzuri Click to expand... Nahc hata hapa nishaanza kulewa maana nilivyo ingia na sasa naanza waona tofaut
one thing Senior Member Joined Jun 2, 2018 Posts 148 Reaction score 172 Sep 9, 2018 #5 tway said: Eti Unajuaje kama ‘umelewa’? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ni pale utakapokua una kunywa na mkweo na ukaanza kumtongoza ili akupe mzigo [emoji23]
tway said: Eti Unajuaje kama ‘umelewa’? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ni pale utakapokua una kunywa na mkweo na ukaanza kumtongoza ili akupe mzigo [emoji23]
- kANA - JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 4,089 Reaction score 10,562 Sep 9, 2018 #6 Nikianza kuona bar maid amekua mrembo ghafla, nachukua kilicho changu narudi home kulala!
call me T JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 291 Reaction score 393 Sep 9, 2018 Thread starter #7 one thing said: Ni pale utakapokua una kunywa na mkweo na ukaanza kumtongoza ili akupe mzigo [emoji23] Click to expand... Labda kwa mwanaume wa dar
one thing said: Ni pale utakapokua una kunywa na mkweo na ukaanza kumtongoza ili akupe mzigo [emoji23] Click to expand... Labda kwa mwanaume wa dar