Unajua nchi hii kwa hili: CC-Wasira vs Chadema-Heche! Je nchi inaenda wapi??

Unajua nchi hii kwa hili: CC-Wasira vs Chadema-Heche! Je nchi inaenda wapi??

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,892
Unajua nchi hii kwa hili: CC-Wasira vs Chadema-Heche! Je nchi inaenda wapi??

Kama wewe ni kijana ambao ni 80% wanamsikiliza mzee wasira ambaye alikuwa mkuu wa mkoa 1978 kwa uchawa wake au Heche? Nchi ndiyo ipo hapa.

Kwasababu ya nguvu ya serikali wanataka kukuaminisha watanzania wengi wanamsikiliza Wasira lakini uhalisia ni tofauti
 
Ivi kweli kijana ukae umsikilize uyo mzee duu maybe ukiwa chin ya pyuu-pyuu
 
Back
Top Bottom