Teh teh teh!alikuwa anataka kumtetea rafiki yake Victor Mwambalaswa mbunge wa Lupa!Mwakyembe aliingia bungeeni na kutaka kutuaminisha kuwa mahakama imetuzuia kujadili mambo yatokanayo na PAC. Tena kwa kujifanya mkali akatuambia tuiombe radhi mahakama kumbe alikuwa katumwa na mafisadi. Hiki kitendo kimemshushia sana heshima huyu Harison
mwakyembe hana lolote la maana yuko njia moja na MAFISADI alisha poteza uadilifu ndio maana yuko tayari kuwalinda name haaminiki kabisa.
Mwambalaswa ni mwenyekiti wa kamati ya nishati, pia kama sijakosea ntasahihishwa ni makamu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya tanesco
Mwambalaswa hivi amekula nini.mbona jina lake sikuliona kwa CAG
SIKUMUONA lOWASSA NASIKIA KENDA TIBIWA?Mbona Lowasa naye alikaa kimya? Naye anaogopa kudhalilisha raalima?
Alikuwa wapi?
Ba Pinda mbona hakusema kitu katu, mpaka mwishoni?
Katika sakata la escrow mh Harison Mwakymbe alitaka kusababisha mjadala usiendelee baada ya kuja na hoja ya Mahakama. Wabunge wengine walimshtukia kwamba ametumwa na wakampuuza. Sasa wakati sakata linaendelea aliona aibu sana maana kaidhalilisha taaluma yake ikambidi akaekimya mwanzo mwisho.
Mwakyembe aliingia bungeeni na kutaka kutuaminisha kuwa mahakama imetuzuia kujadili mambo yatokanayo na PAC. Tena kwa kujifanya mkali akatuambia tuiombe radhi mahakama kumbe alikuwa katumwa na mafisadi. Hiki kitendo kimemshushia sana heshima huyu Harison
Sikumsikia selasini sijui yupo
Uwajibikaji upo wapi kama ni hivi?. Kuna conflict of interest. Wabunge wanapaswa kutokuwa kwenye Bodi za mashirika ya umma. Na ndio GOOD GOVERNANCE.Mwambalaswa ni mwenyekiti wa kamati ya nishati, pia kama sijakosea ntasahihishwa ni makamu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya tanesco
alikuwepo...