Unajua kwanini maji ya kuchemsha hupoteza ladha (flat taste)? Fahamu nini ufanye kurudisha ladha yake

Hiyo gharama ya kuchemsha, na huo mda wa kupoza, ni Bora ununue Lita 20 Kwa elfu 6 tu.
Mwenzio anazungumzia maji ya bomba anayoyonunua ndoo ya Lt 20 kwa sh 100 na kuyachemsha kwa mkaa unaobaki baada ya kupika ugali. Kwenye hiyo elfu6 yako anasave sh 5900 maisha mengine yanaendelea. Sasa wewe endelea kujifanya hujui kubana matumizi shwain
 
Kubana matumizi kwenye kununua maji ya elfu 6? Sasa ili uweze kujenga nyumba ya milioni 30 utatumia muda gani kuchemsha maji ili kuisave hiyo 30?

Matumizi hayabanwi kwa kula maharage au mchicha daily na ugali au kupiga mboga chukuchuku kwa kuhofia kununua nyanya za mia5 na kibaba cha mafuta cha 300.
 
UNAJUA KWA NINI MAJI YA KUCHEMSHA HUPOTEZA LADHA?

Mbinu ya kuchemsha maji ni moja ya mbinu ya kuyafanya maji kuwa salama, kupitia mbinu hii utaweza kuua vijidudu, bacteria na virusi mbalimbali ambavyo vipo katika maji.

Ubaya wa njia hi ni kwamba, baada ya hapo maji yanakua hayana ladha (flat taste)

SABABU MAJI YA KUCHEMSHA KUKOSA RADHA

Unapo chemsha maji hewa ambayo huwa katika maji huondoka, na hewa iliyopo katika maji ndio hufanya maji kuwa na ladha.

UFANYE NINI KURUDISHA LADHA YA MAJI BAADA YA KUYACHEMSHA.

Ni rahisi sana, fanya hivi.

1. Yaache maji yapoe
2. Chukua vyombo viwili vitakavyotosha hayo maji
3. Uwe unayamimina kutoka chombo kimoja kwenda kingine Kama vile unayapooza, hakikisha unainua juu ili maji yawe yanashuka kwa kuporomoka.

Fanya Kama mara 10 hivi

Hii husaidia maji kuchanyikana na hewa tena na radha yake kurejea Kama kawaida.

Chukua hiyo
Aisee,

Hii ndio Sayansi.
 
Safi Sana ndugu.

Maji yaliyochemshwa ukichunguza kwa makini yana kaharufu ambako sio kazuri. Labda ni hao wadudu waliokufa
 
Kubana matumizi kwenye kununua maji ya elfu 6? Sasa ili uweze kujenga nyumba ya milioni 30 utatumia muda gani kuchemsha maji ili kuisave hiyo 30?

Matumizi hayabanwi kwa kula maharage au mchicha daily na ugali au kupiga mboga chukuchuku kwa kuhofia kununua nyanya za mia5 na kibaba cha mafuta cha 300.
Kuna malengo makubwa na malengo madogo, hataivo inategemea na Kipato na utashi wa mtu.
 
Back
Top Bottom