Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,389
- 2,844
Umeshawahi kujiuliza Dunia inaonekanaje nyakati za usiku ? ๐
Kuna picha moja inayoonyesha muonekano wa Dunia ulivyo nyakati za usiku ambapo, Picha hii ya Dunia ilinaswa siku ya Jumatatu.
Ni Jumatatu ya Machi 17, 2025 majira ya usiku ya saa 01:05 UTC na Satellite ya NOAA GOES, ikionyesha jinsi inavyoonekana usiku.
Unasemaje kuhusu muonekano huu wa Dunia nyakati za usiku ?? ๐