Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 18,994
- 55,126
uwepo wa nyumbu wengi amabo unaweza kuwapeleka muelekeo unaoutaka ww!
uwepo wa nyumbu wengi amabo unaweza kuwapeleka muelekeo unaoutaka ww!
Kilimo kidogo, na ufugaji kwa wingi aiseeee......Huko ushirombo mnajivunia nini.
Hongera mkuu,ukipata nauli karibu Dar.Kilimo kidogo, na ufugaji kwa wingi aiseeee......
Mbuzi na kuku wa kienyeji wana nihusu sana
Mkuu......Hongera mkuu,ukipata nauli karibu Dar.
Mkuu......
Yalio nisibu huko Daslam kwenu, ni siri yangu tu.
Sikuhiyo nilikua nimeuza ng'ombe aiseeee.....
Ebu ngoja niishie hapa tu
Jisemee wewe kuwa paka wa Ulaya ana afadhali kuliko wewe na si kugeneralize kwa kila Mtanzania.Bora paka aliyezaliwa ulaya kuliko binadamu wa Tanzania!
Acha kuniangusha mkuu, wewe si baharia?Binafsi nje ya Tanzania sijawahi kwenda, labda Daslam tu ndio nimefika.
Ila huku Ushirombo ni raha sana aiseeee.....
Mkuu.....Acha kuniangusha mkuu, wewe si baharia?
Hahahaha! Haya Mkuu!Mkuu.....
Mengine hua tuna yaacha yapite na siku ziende....
Lakini kiukweli ubaharia umeniweka pazuri aiseeee....
Now day maisha ni raha burudani...
Usijali mkuu hii ndiyo Tanzania yetu.Ninaona aibu nchi ya kusadikika,nchi ya viwanda,nchi ambayo katiba hukanyagwa na kutoheshimika,nchi isiyo na mipaka ya kazi kama Mkuu wa Mkoa kutoa kauli kama ni ya nchi nzima,nchi ambayo watu wake wana maswahiba ya ujinga uliopitiliza,umasikini uliokithiri,maradhi tena ya ajabu,ufisadi na maswahiba kibao toka nchi ipate uhuru watu wengi hawana uhakika wa mlo mmoja wa siku zaidi ya miaka 55 ya uhuru.
Ninapata aibu kwa Viongozi na Watu waliotufikisha hapa tulipo ambapo hata mlo mmoja wa siku ni msamiati kwa wengi wao watu au viongozi hao hulindwa na kuogopewa sana.
Acha tu maana ninapata machungu sana nikifikiria nchi yangu mambo yanavyokwenda kimsobemsobe...
Sababu za ujambazi eee....teh joki..gPassport zangu zote si za Tanzania hata nikiwa nje ya nchi natambulika kama siyo raia wa Tanzania!
Wengi hawatakuelewa...but huu ndo ukweli...mfano mdogo wakenya tena wanakwaya walipata ajali ya bus binafsi, walifuatwa kwa ndege toka kenya...lakini watz hatuna thamani mbele ya watawala wetu hasa wakati wa majanga hakuna wa kujali zaidi ya kula vichapo mkiandamana kudai haki..cc tetemeko bukobaBora paka aliyezaliwa ulaya kuliko binadamu wa Tanzania!