Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,190
- 10,918
Kwa hiyo si mTz? Swali limelengwa kwa waTz, nini wanaonea ufahari au kuwatia aibu kwa kuwa mTz.Passport zangu zote si za Tanzania hata nikiwa nje ya nchi natambulika kama siyo raia wa Tanzania!
Kwa hiyo si mTz? Swali limelengwa kwa waTz, nini wanaonea ufahari au kuwatia aibu kwa kuwa mTz.Passport zangu zote si za Tanzania hata nikiwa nje ya nchi natambulika kama siyo raia wa Tanzania!
Kwanini umeamua kufanya hivyo mkuu.Passport zangu zote si za Tanzania hata nikiwa nje ya nchi natambulika kama siyo raia wa Tanzania!
Na tanzanite ya South AfricaMlima ambao upo na Kenya.......
Mlima ambao upo na Kenya.......
mi huwa naonaga aibu sana kila niionapo avatar yko!
Ndiyo hvyo sasa.......tunavyo tu kama mapambo ila wananufaika navyo wengine.Na tanzanite ya South Africa
Ni kweli kuna vitu vimegunduliwa mfano Uranium na Helium lakini hakuna anayejua vinaenda wapi, vimekuwa ni mapambo tu.Ndiyo hvyo sasa.......tunavyo tu kama mapambano ila wananufaika navyo wengine.
Binafsi sijui hata tunapata pato kiasi gani kutoka kwao hao Uranium......Ni kweli kuna vitu vimegunduliwa mfano Uranium na Helium lakini hakuna anayejua vinaenda wapi, vimekuwa ni mapambo tu.
tengua kauli yako mkuu au edit post yako ikulenge wewe na just binadamu wa Tanzania.Bora paka aliyezaliwa ulaya kuliko binadamu wa Tanzania!
Ni kweli mkuu. ... japo avatar yako sijaielewa ila hoja yako nimeipenda....Nachukia kam nchi ambayo mambo yake yote ni siasa tu iwe elimu afya shughuli za maendeleo misiba majanga yaani kwa kifupi kila kitu siasa tu yaani.
Huko ushirombo mnajivunia nini.Binafsi nje ya Tanzania sijawahi kwenda, labda Daslam tu ndio nimefika.
Ila huku Ushirombo ni raha sana aiseeee.....