Unajiuliza kwanini watoto wa shule za Serikali wanafanya vibaya

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Facts
1:Elimu bure ivyo hata waki feli hawapati hasara ila shule kama Feza boy wanalipa more than one million ivyo mzazi lazima awe makini
2:walimu wa serikali awafanyiwi usaili ivyo hata wabovu wanapangiwa kufundisha ila shule kama Feza boy walimu wanafanyiwa usaili ivyo wengi wapo fit
3:Hakuna motisha kwa walimu
4:Walimu wanafundisha watakavyo hakuna anaye wasimamia
 
Serikal,katika shule zake matatizo wanayoyajua na ambayo wanashughurikia siku zote,madawati,vyoo vya wanafunz,kuongeza uandikiswaji wa wanafunz,madarasa.ila mwalimu anakumbukwa na serkali kama mambo yafuatayo yakitokea,kufeli wanafunz,mwalimu kampiga mwanafunz,migomo ya ualimu.uwezi kusikia serkal inamkumbuka mwalimu kwa mema.
 
Back
Top Bottom