Unajionaje?

Watu wana nafasi ya kukuona,inategemea na maono yao yako vipi,wapo watakaokuona kama unavyojiona na wapo watakaokuona tofauti na unavyojiona.Sasa inategemea pia na nia zao ziko vipi hao wanaokuona.Ukionwa tofauti na ukakosolewa na nusu ya jamii inayokuzunguka unatakiwa ubadilike
 
Yeah ndio maana nikasema, jiamini lakini usijiamini sana.
Kwa hiyo mtu kama magu utasema yeye shida yake ni nn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…