Unajionaje?

Dah!aiseeee ni kweli lakini huo ulikua ni mfano tu wahenga waliubuni japo kuna kaukweli haha bata noma.
 
Namuona Mungu akikusaidia utafika mbali.
Am proud of you!
 
Hahaha
JPM
Mimi napinga theory ya kujiona, mebgi tunayo jiona si reality na mengi tunayo ambiwa ni reality.
Na ndio hii theory ina mfanya JPM awe haskii.

Mkubwa, hii kanuni iko sahihi japo sio mara zote. Nakubaliana wakati mwingine hatujui uwezo tulio nao hadi pale tunapoambiwa na watu wanaotufaham vizuri, na hapo ndio tunashtuka kuona tunaweza kunufaikaje na huo uwezo/kipaji.

Kama ndani unajiona mtu usiyeweza mambo, inaathiri sana utendaji wako wa kazi, kuanzia unavyopanga mambo yango, maamuzi yako, mtazamo wako wa mambo na hata unapotoa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…