Unajionaje?

Hahahahahaha umeanza chai zako vlad,hahaa lakini ni vizuri kupendwa mpaka na watoto,huku kwetu tunaita nyota imeng'aa.haha ila hapo kwa wake za watu sikushauri
Siwez kuandika chai J , hiyo ndo hali halisi , napenda watoto sababu nimarafiki wakweli wasioongopa.

Nanikweli pia ukimpenda mtoto , Mama yake atakupenda tuuu iyo ipo.

Kwakweli ningekua mtumiaji Fursa , leo hiii ningekua nmebakiwa na kidoti tuuu sio ten mashine.
.
 
Hahaha kweli ukitaka kumroga mama mpende mwana
 
Hahaha
Aaah Machache pale zimependwa hela tuu. Yule mi sio role model

We una amini age is just a number si juz tuu ulisema age ni mhimu?
Hahahaha nimeongelea lifestyle without kujudge mambo mengine,hatuwezi jua vya ndani but atleast furaha walionayo wakionekana kwa watu inavutia
 
Hahaha kweli ukitaka kumroga mama mpende mwana
Hapo umenielewa nahii nikwasababu hamna mwanamke atakayempenda mwanamme wake kushinda kumpenda mtoto wake....hata km uyo mwanamme ndo kamzalisha.

Je umesahau ,Mama yupo radhi kumuua baba ili abaki na mali na watoto??? .

Ivo basi ukimpenda mtoto ,mama atakuona km wee niunatwmbua uchungu nando hapo unatunukiwa huku akikusisitiza "" Usipomwambia mtu utaendelea kula utamu wangu""[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…