Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
- Thread starter
-
- #401
Si ukwaju ahaha ukwaju wa masikaMkwaju shem
sjaelewa hapo
Wasanii wengine au masupastaa wengine ni wana mbwembwe lakini kumbe ni wakawaidaSasa ukisikia mtu ana kwambia kina Michelle na Barry ndio role modeks wake huyo ana maana.
Hao wenzetu gani hebu kuwa muwaz nikuelewe!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha usichelewe nisije nikaosha vyombo
Anhaaa owk.Nobody has an objective experience of reality. It's all through our own individual prisms,empathy begins with understanding life from another person's perspectiveIts both...brutal.cruel and beautiful.intriguing, and as i have said hapo juu i see the world as i see myself...
I am not cruel.....i take life as an intriguing one,
one can not expect world to be beautiful if oneself is not beautiful from inside.
It begins with you [emoji6]
YeahWasanii wengine au masupastaa wengine ni wana mbwembwe lakini kumbe ni wakawaida
Hahaha usifanye nikapata aibu ya mwak[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee JJ nmecheka sana
Vyombo labda Kama utaosha tu
Vya kwang
Kabisa yani uweeeeeee haha hasa watzYeah
Watu ni pretenders sanaa!
Maneno yako ya kingereza yamenirudisha miaka kadhaa nikiwa sekondari , mwanadada aliyeitwa Asnatha alinambiaga siku iyo nilichelewa kurudi shule, ivo nikarudi saa sita mchana,, nilipoingia darasani tu , mbele ya mwalimu wangu, Darasa likapiga kelele za kufurahia kuniona.Hongera vlad kwa kuwa mfurahishaji kwa kila alie karibu nae,kipaji hiki ni kwa wachache sana.Hope u were born to make people happy.Be blessed
Haa haa hlo haiwezekan maanaHahaha usifanye nikapata aibu ya mwak
Hahahahahaha umeanza chai zako vlad,hahaa lakini ni vizuri kupendwa mpaka na watoto,huku kwetu tunaita nyota imeng'aa.haha ila hapo kwa wake za watu sikushauriManeno yako ya kingereza yamenirudisha miaka kadhaa nikiwa sekondari , mwanadada aliyeitwa Asnatha alinambiaga siku iyo nilichelewa kurudi shule, ivo nikarudi saa sita mchana,, nilipoingia darasani tu , mbele ya mwalimu wangu, Darasa likapiga kelele za kufurahia kuniona.
Nanilipoenda kukaaa Asnatha alinambia hayo maneno.
Lkn pia maneno yako yamenikumbusha nilipokua nmepanga awali... Kule wababa wakahisi nmewazalisha wake zao sababu tu watoto wao wananipenda sanaaa kutwa kushindia kwangu ,wasiponiona wanalia ,,kile kitendo kikafanys wamama zao wanipendeee sanaaaa ,,,, hapo ndo yakasika maneno kua nakula wake zawatu oohhhh nimewazalisha .
Hata ivo nikaamua kuhama zangu ,, ila mmoja ya mama wa mtoto ,nilipokutania naye aliyasema hayo maneno yako ingawa yalikua yakiswahili.
Nilichojifunza .......Ukitaka kumla mke wamtu , au singo mama ,..wee jali sana mwanae[emoji23][emoji23]
Naishia hapa J!!!
AaahKabisa yani uweeeeeee haha hasa watz
Hahaha yani umemkazania baba jesca,lakini baba ridhiwan na mkewe wanaweza wakawa role modal waleAaah
Wabongo usanii mwingii.
Hata watu seriaz hawana maana saaa wewe utasema baba Jeska na mama jeska wanaweza kuwa Role model wa mtu kwa life style yao kweli!!
Hahahaha kwaninHaa haa hlo haiwezekan maana
Iceman 3d akiskia nmefanya
Hvo tena kwako anaweza kunilaan
Hapo nmekusoma vzur mpenzSi ukwaju ahaha ukwaju wa masika
AaahHahaha yani umemkazania baba jesca,lakini baba ridhiwan na mkewe wanaweza wakawa role modal wale
Ntakua nmekosea sanaHahahaha kwanin
Kuna funzo nachukua nlifanyie utafitManeno yako ya kingereza yamenirudisha miaka kadhaa nikiwa sekondari , mwanadada aliyeitwa Asnatha alinambiaga siku iyo nilichelewa kurudi shule, ivo nikarudi saa sita mchana,, nilipoingia darasani tu , mbele ya mwalimu wangu, Darasa likapiga kelele za kufurahia kuniona.
Nanilipoenda kukaaa Asnatha alinambia hayo maneno.
Lkn pia maneno yako yamenikumbusha nilipokua nmepanga awali... Kule wababa wakahisi nmewazalisha wake zao sababu tu watoto wao wananipenda sanaaa kutwa kushindia kwangu ,wasiponiona wanalia ,,kile kitendo kikafanys wamama zao wanipendeee sanaaaa ,,,, hapo ndo yakasika maneno kua nakula wake zawatu oohhhh nimewazalisha .
Hata ivo nikaamua kuhama zangu ,, ila mmoja ya mama wa mtoto ,nilipokutania naye aliyasema hayo maneno yako ingawa yalikua yakiswahili.
Nilichojifunza .......Ukitaka kumla mke wamtu , au singo mama ,..wee jali sana mwanae[emoji23][emoji23]
Naishia hapa J!!!
Hata bwana machache na mkewe wako vizuri japo watu wanawajudge age difference zao but me i believe age is just a number tuAaah
Baba riz tatizo wake wengi mnoo.
Yaan hapa bongo kwa sasa role model may be January, japo simpendi ila na acknowldge yule jamaa na mkewe wanaishi life poa sana
Hahahaha uweeeeeeeeeeNtakua nmekosea sana
Heshima maana yy ndo
Mshenga haa haa
Wanaku impress eèhHata bwana machache na mkewe wako vizuri japo watu wanawajudge age difference zao but me i believe age is just a number tu