Binti wako mwenye degree ya business administration mwenye sura ngumu mpeleke ATCL mwombee internship uone namna sura ilivyo muhimu kwenye jambo lolote.
Atachukuliwa mwenye short course ya wiki 2 na mwanao kuachwa kwasababu ya sura.
Hakuna mtu asiye na akili au asiyejua kufanya kazi.
Soldiers are made not born.
Hiyo akili mtu ataijuaje bila kuona matunda ya kazi yako?