Confession
JF-Expert Member
- Mar 30, 2019
- 746
- 2,465
Hakuna mtu mwenye pesa zake, elimu yake au resources zake atakubali kuoa mke au kuolewa na mume mwenye sura mbaya.
Siku hizi wasomi wapo kila kaya, ili utoboe kupata kazi ya maana lazima connection au reception/ sura nzuri maana kazi zile za mabavu sasa haziko nyingi na kama zipo hazina maslahi.
Sura nzuri ni kigezo muhimu sana kwenye kupata fursa dunia ya leo.
Mtu mwenye sura nzuri automatically kila mwanadamu hupenda kuwa karibu naye bila kujali jinsia yake.
Pambana uoe mrembo au uolewe na handsome muzae watoto wazuri.
Kilichomfanya Potifa amnunue Yusuph na kumweka ndani na si mashambani kama watumwa wengine ni sura nzuri. Hata alipofungwa mkuu wa Magereza akampa nafasi nzuri (unyapara).
Mtoto mzuri hupewa upendeleo kuanzia chekechea mpaka university.
Sauti haitoshi kwa vijana.Oa mwanamke mzuri at your own risk
wewe mpuuzi tangu nchi hii ipate Uhuru ni Rais Kikwete ndiye aliyewatoa Watanganyika kwenye ufukara totoro.Ndio hawa wanaosema Kikwete ni rais handsome, kumbe kichwani ni bumunda tu
Wewe ukiwa na kampuni yako ya sales unaweza kuajiri mtu mwenye sura mbaya huku mwenye sura nzuri yupo ?Yani unaweza ukazaa mtoto halafu akawa na akili duni kama hizi 🚮.
View attachment 3560941
Mungu niepushe na janga kama hili!
wewe mpuuzi tangu nchi hii ipate Uhuru ni Rais Kikwete ndiye aliyewatoa Watanganyika kwenye ufukara totoro.
Nyie wajinga hamna akili.
Dar es salaam hii imejengwa wakati wa Kikwete na wakati wa Magufuli ikasimama maisha ya wananchi yakasimama only flyover ndo zilijengwa. Kaja Samia ndo wananchi wameanza tena kupata maendeleo.
Wanajenga nyumba za kisasa, magari mazuri, biashara zinastawi
Yule tahira mnayemwabudu ska kibudu alikuwa anawarudisha Watanganyika kwenye ufukara wa 61
EeehOa mwanamke mzuri at your own risk
AiseeeNdio hawa wanaosema Kikwete ni rais handsome, kumbe kichwani ni bumunda tu
Machawa wa MamaHii mada inapata upinzani ila kiukweli sura na mwonekano mzuri vinasaidia hata kusikilizwa kirahisi ukienda sehemu.
Watapambana.Hakuna mtu mwenye pesa zake, elimu yake au resources zake atakubali kuoa mke au kuolewa na mume mwenye sura mbaya.
Siku hizi wasomi wapo kila kaya, ili utoboe kupata kazi ya maana lazima connection au reception/ sura nzuri maana kazi zile za mabavu sasa haziko nyingi na kama zipo hazina maslahi.
Sura nzuri ni kigezo muhimu sana kwenye kupata fursa dunia ya leo.
Mtu mwenye sura nzuri automatically kila mwanadamu hupenda kuwa karibu naye bila kujali jinsia yake.
Pambana uoe mrembo au uolewe na handsome muzae watoto wazuri.
Kilichomfanya Potifa amnunue Yusuph na kumweka ndani na si mashambani kama watumwa wengine ni sura nzuri. Hata alipofungwa mkuu wa Magereza akampa nafasi nzuri (unyapara).
Mtoto mzuri hupewa upendeleo kuanzia chekechea mpaka university.
KABLA HATUJAANZA KUTUJAANZA KUTUKANANA NIJIBU HILI SWALI 👇
Una kampuni yako ya sales na kuna mabinti 2 wamekuja kuomba kazi, wote wana elimu sawa, wote ni fresh ndo kwanza wamemaliza chuo mmoja sura ya babu mmoja sura ya malkia. Yupi utaanza kumfikiria kumpa ajira?