Unajifunza nini?

Unajifunza nini?

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,832
Reaction score
5,309
Maandamano ya Burkinafaso, unajifunza nini?
giant-burkina-faso-rally-against-prolonging-leaders-rule.jpg
 
Kwa umati huo,polisi hawezi kufanya chochote hapo,tatizo hapa kwetu wanasiasa wetu/wapuinzani sio wakweli...
 
Kwa umati huo,polisi hawezi kufanya chochote hapo,tatizo hapa kwetu wanasiasa wetu/wapuinzani sio wakweli...
Mkuu tatizo ni wanasiasa au sisi tusiopenda kuhoji hata hayo maandamo hatuendi? kwenye picha hapo ni wananchi wa kawaida.
 
Hisia zangu zinaniambia ipo siku watanzania watatoka barabarani hadi dunia ibaki mdomo wazi
 
makubazi utafanya ya amani mbele ya policeccm?
_watu wakishachoka hakuna cha Amani mkuu
 
Last edited by a moderator:
Bongo nguvu ya umma inaishia kumalizia hasira zake kwa kuwapiga na kuwachoma moto vibaka na wezi wadogo wadogo.......inasikitisha
 
Back
Top Bottom