Unajifunza Nini Kuhusu Hii Picha

Mmhhh!!
Mbona kama unawatukana Lowassa na Sumaye?
Sijamtaja lowasa wala sumaye wala mtu mwingine yoyote au jiwe lililotupwa gizani limekupata wewe maana naskia kelele nimemtaja lisu ndiye mzalendo wa kweli japo kajaribu kukemea uwovu hao wengine wachumia tumbo tu au hujanielewa bado?
 
Yaani anajiamini kuliko waliomkamata. Hata polisi wanamshangaa! CONFIDENCE INTERVAL NI 100%
 
Lisu ndiye mzalendo wa ukweli wengine wote wachumia tumbo tu jitu limekaa serikalini miaka ishirini naa amakulaa wee Leo ndoanajifanya mzalendo kama ungekuwa mzalendo wa kweli mbona hakuwai kuuonyesha huko nyuma? Na mkubali sana lisu
Mbona husemi kuhusu huyo mamvi aliyefika mpk uwaziri mkuu. Na huyo mwingine anaeropoka ropoka anajiita Sumaku sijui Sumayaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huyu jamaa mnamsifia kwa lipi hasa ambalo anaifanyia nchi hii? Yaan kufanya ujinga na kushinda mahakaman ndio la maana?

Wakat jimbon kwake hajawahi kukanyaga sasa sijui alichaguliwa kushinda mahakaman au hata sielewi..

Wakat mwingne ukishindwa kuwa maarufu au kujulikana na matendo mema na ya hekima itabidi ujulikane kwa mambo ya kipuuzi.
Ina maana wewe hujui, wanamsifia kwa lipi? Ndio yale ya kumuuliza Yesu wewe ndio mwana wa Mungu?
 
Hii michezo ni ya wenyewe mi huwa sikimbilii kujaji MTU,hofu yangu ni pengine huyu MTU anafahamu nini anafanya (higher level of self awareness),inahitajika akili kubwa sana kumwelewa kabla ya kumjaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana wewe hujui, wanamsifia kwa lipi? Ndio yale ya kumuuliza Yesu wewe ndio mwana wa Mungu?
Nanyie msituchanganye na maboya yenu hayo. Sisi tunahitaji viongozi wachapa kazi hayo mambo ya kutuletea wanaoshinda mahakaman hao wanawafaa nyinyi.
Hapa ni Tingatinga milele.
Japo lakn mm siuchukii upinzan maana wanaleta changamoto na umakini kwa waliomadarakani.

Bila upinzani sasa hivi tungekuwa na membe au lowasaa mwizi a.k.a jambazi sugu
 
Nanyie msituchanganye na maboya yenu hayo. Sisi tunahitaji viongozi wachapa kazi hayo mambo ya kutuletea wanaoshinda mahakaman hao wanawafaa nyinyi.
Hapa ni Tingatinga milele.
Japo lakn mm siuchukii upinzan maana wanaleta changamoto na umakini kwa waliomadarakani.

Bila upinzani sasa hivi tungekuwa na membe au lowasaa mwizi a.k.a jambazi sugu
Duh, pole naona umeacha kabisa kufikilisha akili yako. Na nadhani hujui maana ya opposition, laiti ungejua ungekaa kimya. Haya wanaoshinda mahakamani, wanashinda kivipi na nani anawapeleka mahakamani? Au hujui Lissu anatetea nini, sitaki niamini maneno yako kama ukweli umeongea baada ya kuwaza au vinginevyo? Hivi hizo ziara za mkulu huoni kuwa ni siasa, ila anazigeuza kama anaenda kuzindua miradi, au haujui kuwa serikali ipo kwa ajili ya wananchi, ila wananchi wako kwa ajili ya kuhudumiwa na serikali, sasa unataka viongozi watakao leta maendeleo au wanaoleta maendeleo kivipi? Hayo maendeleo sio hisani ni wajibu wao mdau kuyaleta na kuyatimiza. Jitahidi uelewe hauwezi ukamlazimisha ngamia kulaa, utachoka!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom