Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,594
- 14,382
Hata kwa nguvu ya police [emoji81]Kwa hiyo wewe ungekuwa Shein ungelazimisha kuushika mkono wa Maalim?
Kwanikafanyajehapo nimejifunza kuwa kwenye maisha busara ni kitu cha msingi sana kwa jamii yoyote na mahali popote paale!!! hapo kwa picha hiyo maalim seif amekosa busara na hekima kwanza hapo ni msibani na yeye kama kioo cha jamii hakupaswa kabisa kufanya huo ujinga wa kiwango cha juu kabisa!!! kama kuna tofauti sawa lakini si kwa namna hii!!
Busara ingeanza kwa hao unaowaona wanabusara kufika kumuona na kumjulia hali Mzee Jumbe sio kujifanya mnajali kwenye msiba. Marehemu mwenyewe wosia wake hakuwataka wanafiki. Tatizo sio busara tatizo ni unafiki unaotumaliza wabongohapo nimejifunza kuwa kwenye maisha busara ni kitu cha msingi sana kwa jamii yoyote na mahali popote paale!!! hapo kwa picha hiyo maalim seif amekosa busara na hekima kwanza hapo ni msibani na yeye kama kioo cha jamii hakupaswa kabisa kufanya huo ujinga wa kiwango cha juu kabisa!!! kama kuna tofauti sawa lakini si kwa namna hii!!
Wote wawili ni waislamu. Mafundisho ya dini yao yanawafundisha kuwa,kujibu salamu ni lazima(waajibu) bali kusalimia ni sunnah.Nimejifunza salamu siyo lazma! Unaweza kukubali au kukataa!
Huo ndio unafiki sasa eti tunapokuwa....!Tunapoumwa au Kupata Misiba Tunasahau Tofauti zetu na kuwa pamoja sio kuchukiana
safiHapo Maalim nampongeza sana mana kuna wanafiki wa kijani walitegemea kupamba kurasa za mbele za magazeti yao yenye kichwa kisemacho "Maalim Seif hatimae asalimu amri na kukubali yaishe"
Sawa Umesema vema je angempa mkono kwa unafiki?hapo nimejifunza kuwa kwenye maisha busara ni kitu cha msingi sana kwa jamii yoyote na mahali popote paale!!! hapo kwa picha hiyo maalim seif amekosa busara na hekima kwanza hapo ni msibani na yeye kama kioo cha jamii hakupaswa kabisa kufanya huo ujinga wa kiwango cha juu kabisa!!! kama kuna tofauti sawa lakini si kwa namna hii!!
Unamaanisha shein naya atajiunga na Cufsiasa siasa siasa leo hii yako wapi???? kuna mtu yeyote aliyekuwa anafikiria kuwa ipo siku lowasa atajiunga chadema ?? kwa namna ambavyo akina lisu mbowe msigwa walivyokuwa wanamsema na kumtusi lowasa ?//
kubali ukatae kimwili lakini najua fika kuwa roho yako na akili yako inajua fika kuwa maalim seif kakoea sana