hapo nimejifunza kuwa kwenye maisha busara ni kitu cha msingi sana kwa jamii yoyote na mahali popote paale!!! hapo kwa picha hiyo maalim seif amekosa busara na hekima kwanza hapo ni msibani na yeye kama kioo cha jamii hakupaswa kabisa kufanya huo ujinga wa kiwango cha juu kabisa!!! kama kuna tofauti sawa lakini si kwa namna hii!!
Ivi ukiwa mfuasi wa ccm lazima uwe na akili mbovu??hapo nimejifunza kuwa kwenye maisha busara ni kitu cha msingi sana kwa jamii yoyote na mahali popote paale!!! hapo kwa picha hiyo maalim seif amekosa busara na hekima kwanza hapo ni msibani na yeye kama kioo cha jamii hakupaswa kabisa kufanya huo ujinga wa kiwango cha juu kabisa!!! kama kuna tofauti sawa lakini si kwa namna hii!!
siasa siasa siasa leo hii yako wapi???? kuna mtu yeyote aliyekuwa anafikiria kuwa ipo siku lowasa atajiunga chadema ?? kwa namna ambavyo akina lisu mbowe msigwa walivyokuwa wanamsema na kumtusi lowasa ?//Lakin kumbuka unafiki sio mzurii,au tumezoea unafiki
fikiri kabla ya kutendaIvi ukiwa mfuasi wa ccm lazima uwe na akili mbovu??
Mi ukinigomea mkono wangu nakushika kwa nguvu[emoji23]
Maalim hakutaka kuonesha unafiki , ni afadhal ameonesha hisia zake wazi wazi...hapo nimejifunza kuwa kwenye maisha busara ni kitu cha msingi sana kwa jamii yoyote na mahali popote paale!!! hapo kwa picha hiyo maalim seif amekosa busara na hekima kwanza hapo ni msibani na yeye kama kioo cha jamii hakupaswa kabisa kufanya huo ujinga wa kiwango cha juu kabisa!!! kama kuna tofauti sawa lakini si kwa namna hii!!
Nasemea weweee
Yap mpaka ATM igome kutoa pesa