Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
​Kuna mambo hupaswi kumsumbua Yesu huko aliko,unapaswa kujiongeza mwenyewe tukwa jina la yesu tutapona
​Kuna mambo hupaswi kumsumbua Yesu huko aliko,unapaswa kujiongeza mwenyewe tukwa jina la yesu tutapona
Mjitu inayo fikiria hadithi za freemason niwashirikina sana
Wengi tu huwaabudu hao jamaa ili wakija watabisha lazma mana ni ushabiki tena umewakolea.
View attachment 263725chama cha mpira kilizinduliwa tar 26 hii sio bahati mbaya angalia cheo cha juu kabisa kina watu 13 hao ndio top layer kwahiyo chukua 26÷2=13 au 13×2=26
Exactly shost. Wakija hapa watakana kwa njia zote ila jackline wolper kaishakiri hadharani
namba yoyote inaweza kutoa 13 ni hesabu za namba tu mfano 26-6-2015, 2+6+6+2+0+1+5=22, kwa hiyo 22=11×2 , 11+2=13 kwa hiyo namba yoyote inaweza kutoa jibu ulitakalo sio lazima 13 tu
Agogwe haya mambo hayaendi kwa kujiandikia tuu...Tulia usome kwa makini utagundua siri kubwaYani we ni mvivu wa kufikiri yani neno football kwenye chama cha mpira ni mason.
Kwahiyo ulitaka waweke headball
Yote yaweza kuwa Sawa lakini ikumbukwe kwamba msimamo na mtazamo wa haya mambo ya FREEMASON ni wewe mwenyewe unayachukuliaje. Make haya masuala yamekua ni mtambuka sana kwa kutiliwa vikolomboizo vya kila aina jambo la msingi ni kushika ulipo shikilia ikiwa unaamini kwamba wao ndo wafanyaji basi itakuwa ni vigumu pia kuamini kama ukiambiwa wao sio wafanyaji wa hayo mambo......... ACHA WAFU WAZIKE WAFU WAO....Curse on you all FREEMASONRY!!!!!
View attachment 263725chama cha mpira kilizinduliwa tar 26 hii sio bahati mbaya angalia cheo cha juu kabisa kina watu 13 hao ndio top layer kwahiyo chukua 26÷2=13 au 13×2=26