sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
mshana this is too low kwa wewe kupost.. Uliyoandika na unayoandika yapo hapa kitambo na hata magazeti ya udaku yameandika sana,..... Sijui kwann umeanzisha mada hii. Ur above this level bro
mshana this is too low kwa wewe kupost.. Uliyoandika na unayoandika yapo hapa kitambo na hata magazeti ya udaku yameandika sana,..... Sijui kwann umeanzisha mada hii. Ur above this level bro
Ndo maana nikasema wataifata wale ambao wanaona ina manufaa kwao... lakini kama mtu unajitambua kamwe huwezi kuingia mkenge kwa mambo kama hayo...Taratibu utaelewa kwakuwa freemason ndio dini mpya inayokuja Afrika angalia hizo takwimu hapo ni kama ulivyokuwa ukristo zamani huko kwao ulishamiri na kustawi lakini sasa ni kama hapo
Freemason nayo inaingia kwa kasi kubwa Africa kina kona saivi ni FreeMason ulaya inaishia View attachment 263758
kweli mkuu hata chakula/fOOD ni FreeMason, inauzwa sana
mkuu me kweli ckuelewa alichoandika umo ndani zaidi naona mapichapicha pale yanamabikari na majicho.nalinganisha izo dots bado sioni kitu.me naona mtoa mada kama ungejitahidi kua na maelezo ya kujitoshereza.mada ngumu kama izi hazitaki uandike kwa kua we unajua.andika kama unawaelewesha watu wasiojua kbisa.na hayo mahesabu cjui yanakujaje hpo.