Unajiamini, unaweza.!! try me..

Unajiamini, unaweza.!! try me..

Miss Bantu

Senior Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
153
Reaction score
149
Special kwa wana jf wote walio single na wachache wenye watu wao humu...

kama unajiamin wewe ni mjanja na unamistari raini ya kumtoa nyoka pangoni basi thread ndo hii.. Ni wakati wako kuntongoza live hapahapa mpaka ntakapokubali, kwa atakaekuja na mistari ya ukweli basi nafasi itakua yake.!!! am single and ready to mingle

who knows.. it can be you
 
O.M.G I can't miss this, ngoja niipangilie mistari kwanza nitarejea Miss Bantu.
 
Last edited by a moderator:
Nina fullkobe tatu, nafuga kitimoto na nina mtambo wa kuzalishia gongo ninamiliki mitumbwi miwili bado sijamalizia kozi ya kuruka kwa ungo yeah nadhani hii pia itanipa credit; nimefuzu mafunzo ya umbea na pia sijamaliza dozi ya arv kwajili ya kupunguza mawazo@ !! Vipi inalipa?
 
Special kwa wana jf wote walio single na wachache wenye watu wao humu...

kama unajiamin wewe ni mjanja na unamistari raini ya kumtoa nyoka pangoni basi thread ndo hii.. Ni wakati wako kuntongoza live hapahapa mpaka ntakapokubali, kwa atakaekuja na mistari ya ukweli basi nafasi itakua yake.!!! am single and ready to mingle

who knows.. it can be you

Loh?
Mie nshazoea kutongozwa na wadada, ya leo itakuwa mpya kabisa.
 
Miss Bantu mi sitaki vya kuambiwa,nataka nione na kupapasa mwenyewe

maneno makavu hvyo alafu nikuruhusu tu unipapase.?? ata kubembeleza inaonekana huwezi.. am sory am nat of yo type
 
Last edited by a moderator:
Nina fullkobe tatu, nafuga kitimoto na nina mtambo wa kuzalishia gongo ninamiliki mitumbwi miwili bado sijamalizia kozi ya kuruka kwa ungo yeah nadhani hii pia itanipa credit; nimefuzu mafunzo ya umbea na pia sijamaliza dozi ya arv kwajili ya kupunguza mawazo@ !! Vipi inalipa?
Elli vipi?? Umeniibia mistari yangu bwana........hapa sina changu, ngoja nijipange upya!!
 
Last edited by a moderator:
Loh?
Mie nshazoea kutongozwa na wadada, ya leo itakuwa mpya kabisa.
ndio leo chance yako ya kujifunza kutongoza anza sasa tupiga mistari ujipime kiwango chako
 
Nina fullkobe tatu, nafuga kitimoto na nina mtambo wa kuzalishia gongo ninamiliki mitumbwi miwili bado sijamalizia kozi ya kuruka kwa ungo yeah nadhani hii pia itanipa credit; nimefuzu mafunzo ya umbea na pia sijamaliza dozi ya arv kwajili ya kupunguza mawazo@ !! Vipi inalipa?

ARV.!!? Hhhell no..
 
ndio leo chance yako ya kujifunza kutongoza anza sasa tupiga mistari ujipime kiwango chako

Sijazoea CUTE, si unajua ukishamiliki bastola hakuna haja ya kujifunza kung-fu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom