Isije kuwa ndo umekaa karibu na mimi Mkuu!
Maana naona hapa nilipo tumbo limejaa gesi kwa sababu ya vijambo vyako, hebu jaribu kuwa msitaarabu basi.
Kuna sehemu za kwenda kujambia.
Na utaratibu ni kwamba, ukimaliza kujamba, unatawaza kwa maji.
Ni kweli ni ngumu kuhesabu,japo ukiweka nia unaweza,pia najaribu kufikiri kuwa huenda kujamba kunaweza kukuongezea kipato,iwapo italetwa teknolojia ya kuhifafhi gesi inayotokana na mifuzi,mifuzi ni kijana cha kitendo kujamba