yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,901
- 4,128
Nawasalimu ndugu zangu.
Nilinunua TV aina ya Boss lakini sasa imenichosha, kila siku inaungua taa.
Nataka sasa kununua ya kampuni moja wapo kati ya Samsung, Sony au TCL.
Sasa je kuna TV feki? Nitazitambuaje?