Unaitambuaje TV feki?

Mkuu umeitumia?
kuna jmaa anayo hisense alinunua mwaka jana mwezi kama wa tisa ipo ila ule uangavu umepote iko na brightness nyeupe sana hata kama pich ni ya maua ya kijani

then apps zinazingua kama youtube mara unfortunately has stopped anairestart kila mda haina zmuka sauti inakroma kama mtu yuko bafuni halafu anaongea
 
Duh aisee! Sasa hizi Samsung na Lg kwa sisi wa kipato cha kuunga unga ni mtihani.
Lakini mbona hizi Hisense zinauzwa hadi sehemu za kuheshimika ambako hawauzi product za kichovu? Na hii ndo sababu ilonishawishi kuinunua. Kumbe nisubiri majanga.
 
Hata mi niliamua kununua Hisense, naona zimeingia kwa kasi. Niliamua kujilipua, potelea mbali. Nimenunua wiki iliyopita.
we ndio kama mimi nimejilipua nikaingia maduka ya kariakoo nimeinunua nasikilizia hapa km ni feki potelea mbali ili mradi wamenipa warrant basi mambo mengine baadae.
 
Duh aisee! Sasa hizi Samsung na Lg kwa sisi wa kipato cha kuunga unga ni mtihani.
Lakini mbona hizi Hisense zinauzwa hadi sehemu za kuheshimika ambako hawauzi product za kichovu? Na hii ndo sababu ilonishawishi kuinunua. Kumbe nisubiri majanga.
hisense hizi frameless ziko poa yaani model latest za 2021 mfano UHD kwa nn nikakwambia ivyo kuna sehemu nyingi za kubet na vibanda umiza vya kuonyeshea mpira wanatumia izo na zinapiga kazi masaa mengi na ile dstv sio poa ila zile sijui LED achana nazo zinachuja ila LED za lg ,samsung na sony ziko bomba

ila katika makapuni hayo ya nchina wa kwanza nampa hisense,then TCL na starx
 
we ndio kama mimi nimejilipua nikaingia maduka ya kariakoo nimeinunua nasikilizia hapa km ni feki potelea mbali ili mradi wamenipa warrant basi mambo mengine baadae.
Na wakati mwingine haya mambo ni kubahatisha. Hata lg inaweza ikakaa mwaka ikafa pia. Alaf hizi hisense zinauzwa hata kwenye maduka ya kuheshimika, hili ndo lilinishawishi.
 
Kuna rafiki yangu alinunua tv aina ya Soyi,mwaka juzi mpaka leo inapiga kazi na ina picha kali sana,japo ukiishika ni nyepesi mno lakini iko vizuri sana.
 
hisense hizi frameless ziko poa yaani model latest za 2021 mfano UHD kwa nn nikakwambia ivyo kuna sehemu nyingi za kubet na vibanda umiza vya kuonyeshea mpira wanatumia izo na zinapiga kazi masaa mengi na ile dstv sio poa ila zile sijui LED achana nazo zinachuja ila LED za lg ,samsung na sony ziko bomba

ila katika makapuni hayo ya nchina wa kwanza nampa hisense,then TCL na starx
Naona Hisense inatengenezwa South Africa.
 
Na wakati mwingine haya mambo ni kubahatisha. Hata lg inaweza ikakaa mwaka ikafa pia. Alaf hizi hisense zinauzwa hata kwenye maduka ya kuheshimika, hili ndo lilinishawishi.
kuharibika izo kawaida haswa samsung kii kutoka mistari kama zile simu zao za s series na lg pia na ni cost sana kutengeneza
 
hisense hizi frameless ziko poa yaani model latest za 2021 mfano UHD kwa nn nikakwambia ivyo kuna sehemu nyingi za kubet na vibanda umiza vya kuonyeshea mpira wanatumia izo na zinapiga kazi masaa mengi na ile dstv sio poa ila zile sijui LED achana nazo zinachuja ila LED za lg ,samsung na sony ziko bomba

ila katika makapuni hayo ya nchina wa kwanza nampa hisense,then TCL na starx
Mi nimenunua Hisense frameless LED, mkuu unanitisha.
 
hisense hizi frameless ziko poa yaani model latest za 2021 mfano UHD kwa nn nikakwambia ivyo kuna sehemu nyingi za kubet na vibanda umiza vya kuonyeshea mpira wanatumia izo na zinapiga kazi masaa mengi na ile dstv sio poa ila zile sijui LED achana nazo zinachuja ila LED za lg ,samsung na sony ziko bomba

ila katika makapuni hayo ya nchina wa kwanza nampa hisense,then TCL na starx
Model za 2021 ndo zipi hizo hizi 7 series au?
Mi nilinunua wiki iliyopita Smart Tv UHD 4k 7 series inch 43 ambayo ni Frameless
 
Binafsi Nina shida Kama week mbili zilizopita nilinunua smart TV Aina ya TCL lakini nikiitumiaaa Kuna muda inafika inajizima yenyewe mpaka niiwashe Tena kwa remote je nitatizo la kawaida au nishida msaada?
Hizo ni settings unaweza rekebisha
 
Back
Top Bottom