Unaitaji mke wa ndoa?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Tuma jina unaloitaji la mkeo mtarajiwa...umbo lake unaloitaji awe,,urefu/ufupielimu yake/aweje tumeanzisha maombi rasmi kanisan kwetu la victroy churchkuombea wale wanaoitaji ndoa na wale waliokata tamaa pm upate baraka za ndoa
 
heee how about mme, mie nataka mme mthungu mwenye pesa na elimu ya juu, awe anaishi Dubai na anaendesha Range Rover, awe mzee au kijana it doesnt matter, ony money matters! thank you. naishi manzese naitwa Ngema! ha ha ha:smilez:
 
IPO HAPA.....:A S-heart-2:
 
wewe mwenyewe inabidi uombewe!

amen
binafsi naomba usuniache kwenye maombi yako unajua kwenye ndoa shetan akiona ina furaha anahangaika sana kutafuta kutokuwa na amani na kinachotutoa hapo ni maombi ahsante sana mtumishi kwa kunikumbusha ....tunaitaji kuombeana wengi wanahangaika baada ya kupata mke/mume wanasahau kuendelea kuombea ndoa zao matokeo yake yakianza kuyakuta wanaanza kuamka usiki kukesha vyema jaribu kuanza kukesha kabla ya hapo uone kama shetan atakunusa wacha kukugusa
ubarikiwe baba/mama
 
heee how about mme, mie nataka mme mthungu mwenye pesa na elimu ya juu, awe anaishi Dubai na anaendesha Range Rover, awe mzee au kijana it doesnt matter, ony money matters! thank you. naishi manzese naitwa Ngema! ha ha ha:smilez:

we ni Mange nini?
 
Tuma jina unaloitaji la mkeo mtarajiwa...umbo lake unaloitaji awe,,urefu/ufupielimu yake/aweje tumeanzisha maombi rasmi kanisan kwetu la victroy churchkuombea wale wanaoitaji ndoa na wale waliokata tamaa pm upate baraka za ndoa

sasa hao wake wanapatikana hapo kanisani kwenu au mungu atawashusha?
 
Mie natafuta mwanamke mwenye hela, asiwe tajiri sana lakini angalu alingane na binti wa Bill Gates au hata Carlos Slim, kwa ukosefu hata mtoto wa Rosram aziz, naomba uniombee sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom