Unaishi au unasindikiza tu?

Unaishi au unasindikiza tu?

kila mtu ana raha zake mkuu kama mie na baba chanja maisha yetu yanakuwa burdani tukipiga chibuku yetu na makelele meengi kilabuni tunaimba na kucheza nyimbo za kienyeji ,kisha tukirudi hom ananisugua sanaaa mpaka pumzi zinaisha .....asubuhi nikiamka nakuwa na burdani tata sijali wengine wanafanyaje hivi sasa tuna watoto 7 unusu🙄🙄🙄🙄
Wacha weee
 
Back
Top Bottom