Unaishi au unasindikiza tu?

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,277
15,522
Screen_Shot_2017_03_21_at_12.17.51_PM.1490114591.png
 
  • Thanks
Reactions: MC7
kila mtu ana raha zake mkuu kama mie na baba chanja maisha yetu yanakuwa burdani tukipiga chibuku yetu na makelele meengi kilabuni tunaimba na kucheza nyimbo za kienyeji ,kisha tukirudi hom ananisugua sanaaa mpaka pumzi zinaisha .....asubuhi nikiamka nakuwa na burdani tata sijali wengine wanafanyaje hivi sasa tuna watoto 7 unusu:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
kila mtu ana raha zake mkuu kama mie na baba chanja maisha yetu yanakuwa burdani tukipiga chibuku yetu na makelele meengi kisha tukirudi hom ananisugua sanaaa mpaka pumzi zuinaisha asubuhi nikiamka nakuwa na burdani tata sijali wengine wanafanyaje hivi sasa tuna watotot 7 unusu
mmmh! anakusugua??
hiyo papuchi haijaota sugu kweli!
 
Unaweza kuona wengine wanaishi until uujue ukweli wao ndo unabaki kuona kumbe all that glitter is not gold...
Ni kweli lakini!!! Hizi nyumba zinaficha mengi. Yaani yule hasie na kitu anaweza kua na faraja na amani moyoni kuliko mwenye kila kitu...
Mzee wangu hua anasema husitamani maisha ya mwengine hujui alichopitia na anachopitia ili kua hapo.
 
duuuh yaani mi nipo tandale huku mtaa wa kantangaze single room,ndani kuna jiko,madumu ya maji,ndoo,baiskeli,viti kitanda na nimekigawa chumba na shuka watoto kwao mi na mama tuntufye kwetu....daaah kweli nasindikiza watuuuu
 
Kwa mimi ninae ishi store (sitoo au stoo )hapo si kusindikiza tu bali kama ni penye garimoshi nimewabebea mizigo nimeingiza ndani hapo sasa nimeshuka chini nipga nao story nasubiri chuma kiondoke zoezi la kusindikiza litakuwa limekamilika
 
kila mtu ana raha zake mkuu kama mie na baba chanja maisha yetu yanakuwa burdani tukipiga chibuku yetu na makelele meengi kilabuni tunaimba na kucheza nyimbo za kienyeji ,kisha tukirudi hom ananisugua sanaaa mpaka pumzi zinaisha .....asubuhi nikiamka nakuwa na burdani tata sijali wengine wanafanyaje hivi sasa tuna watoto 7 unusu:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
ni kweli mkuu,kila mtu na kanako mpagawisha kake
 
kila mtu ana raha zake mkuu kama mie na baba chanja maisha yetu yanakuwa burdani tukipiga chibuku yetu na makelele meengi kilabuni tunaimba na kucheza nyimbo za kienyeji ,kisha tukirudi hom ananisugua sanaaa mpaka pumzi zinaisha .....asubuhi nikiamka nakuwa na burdani tata sijali wengine wanafanyaje hivi sasa tuna watoto 7 unusu:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Kuna jamaa yangu ana furaha sana japo geto kwake kuna mkeka wa kulalia na kibiriti cha kuwashia Ganja tu..

Kila mtu ana furaha yake maishani..
 
Back
Top Bottom