Unaipa asilimia ngapi hii nyimbo mpya ya P the MC

ni maoni yako tu mkuu ila jaribu kutuliZa akili yako alaf skiliza tena
Mkuu nimeisikiliza kama mara tatu ,kwenye hiphop huwa pia kuna mtindo wa muda flani kama ilivyo bolingo kuna kipindi cha kibinda nkoi au shamukwale etc sasa hii staili kurudia rudia neno ni enzi zile kina '' hey blue say blue wote blue blue '' au ''watu kibao '' by wateule ,leo hiphop imeevolute sana hebu msikize dogo hapa ''Nikki Mbishi - Playboy (Feat. Ben Paul) - Listen on Deezer''
 
apo nimekusoma ila ungesema idea aloitumia ni ya kizamani sana
 
Nakiri nimetumia lugha kali,lakini sababu ni kuwa P the Mc ni moja ya wasanii wachache sana waliona heshima mtaani kutoa leve hii ndogo naona anaturudisha nyuma sana

nimekuelewa sana mkuu

blessings
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom