Unaiona wapi Tanzania (dar Es salaam) ndani ya miaka 10 ijayo

Unaiona wapi Tanzania (dar Es salaam) ndani ya miaka 10 ijayo

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,531
Reaction score
8,259
Ningependa tujadili kwa pamoja hili suala ili tuweze kwenda sawa na mabadiliko yanayojitokeza.

Kusema kweli moja kati ya mambo ninayofurahia kwa sasa juu ya jiji hili la dar ni kuona barabara zinazounganisha barabara kubwa zinatengenezwa kwa kiwango cha lami. Kuna baadhi zimeisha na nyingine ujenzi unaendelea. Kati ya barabara zinazounganisha barabara kuu ambazo tayari zimeisha na zinatumika ni ile ya Mbezi mwisho(morogoro road) mpaka Tangi bovu(bagamoyo road), inayoanzia kimara Baruti (morogoro road) mpaka mlimani city (samnujoma road).

Hizo ni barabara ambazo zipo.

Ishu ipo kwa miaka kumi

Kwa upande wangu naona kila mtaa ukiwa na barabara kiwango cha rami. Naona flyover na interchange zikifanya vizuri. Na mambo mengi zaidi ha hayo kwenye secta nyingine. Mfano majengo marefu na ya kisasa.

Karibuni tujadiri kwa pamoja tunaiona wapi Tanzania yetu ya miaka 10 ijayo
 
Ningependa tujadiri kwa pamoja hili suala ili tuweze kwenda sawa na mabadiriko yanayojitokeza.

Kusema kweli moja kati ya mambo ninayofurahia kwa sasa juu ya jiji hili la dar ni kuona barabara zinazounganisha barabara kubwa zinatengenezwa kwa kiwango cha rami. Kuna baadhi zimeisha na nyingine ujenzi unaendelea. Kati ya barabara zinazounganisha barabara kuu ambazo tayari zimeisha na zinatumika ni ile ya Mbezi mwisho(morogoro road) mpaka Tangi bovu(bagamoyo road), inayoanzia kimara Baruti (morogoro road) mpaka mlimani city (samnujoma road).

Hizo ni barabara ambazo zipo.

Ishu ipo kwa miaka kumi

Kwa upande wangu naona kila mtaa ukiwa na barabara kiwango cha rami. Naona flyover na interchange zikifanya vizuri. Na mambo mengi zaidi ha hayo kwenye secta nyingine. Mfano majengo marefu na ya kisasa.

Karibuni tujadiri kwa pamoja tunaiona wapi Tanzania yetu ya miaka 10 ijayo
Baada ya miaka kumi utakuwa umekuwa kiasi cha kujua matumizi sahihi ya 'r' na 'l'
 
Barabara hazina thaman zaid ya uhai wa watu wasio na hatia

Acheni kuua raia ipo siku damu ztawalilia
 
Bila shaka wewe ni msukuma au mshamba Fulani kutoka kanda ya ziwa kwenye 'L' wee unaweka 'R' na hii inatumika sana kwa watu wa kanda ya ziwa
 
dar itakuwa imechoka mbaya na watu Watakuwa wamesha kaangwa tayar maana sio kwa iloo jotoo bora mhame ukoo kabla hamjakaushwa kama samak
 
Tunaendelea kwa kasi ya kono kono, ila tukizidisha speed, ndani ya miaka 10 twaweza kuwa mbali zaidi, ningependa barabara nyingine iunganishwe kutokea Toure Drive, ofcourse itakuwa kwenye mfumo wa daraja, mpaka Ocean Rd.
Barabara nyingine ingekuwa vyema iunganishwe mitaa ya kinondoni mpaka mjini, ila hii itakuja kwa gharama za kuvunja nyumba za watu na daraja kujengwa pia....
Flyover muhimu Mwenge na Morocco Rd...
Hizi (Feeder Rds) nazo, zikipigwa lami, kuwekewa mitaro/mifereji iliyofunikwa, basi Jiji litaweza kuhimili vyombo vya moto vitumiavyo barabara...
Kutokana na hayo yote kurekebishika, tutagemea uchumi kukua kwa kasi ya ajabu na watu kuishi maisha ya juu zaidi..
 
Naiona wanaume wa dar wakiwa wameacha kunywa supu ya pweza na watakua wanakunywa supu ya PAPA
 
Back
Top Bottom