Unaikumbuka Nokia 3310? (Jeneza)

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Wandugu tumetoka mnbali ebu tukumbushane simu iliyo tamba sana enzi hizo wengine wakiita jeneza.
 

Attachments

  • j.jpeg
    8.9 KB · Views: 624
Waliinibia hiyo simu,nikaikamata mitaa ya bills
 
naikumbuka nilikuwa nayo 2004,bado zipo?
 
Na ujanja wangu wote,sijawahi kutumia hiyo simu maana nimeanza kumiliki simu kwenye utu uzima wangu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Ilikuwa simu ya kwanza kuishika tuu kwani ilkuwa ya kaka yangu aliyokuja nayo kutoka mjini mwaka 2005
 
Na hii vipi?
 

Attachments

  • Image0427.jpg
    118.3 KB · Views: 158
Nilisumbua chuo kizima, MOROGORO TEACHERS' COLLEGE!
 
Mimi nilikuwa nayo Nokia 3210..!!

Ilikuwa simu 'ngangari' sana, hata ukiiangusha chini bado inadunda tu...!!

 
haha..kuna mwanahip-hop wa bongo aliimba...(waliniibia 3310 sasa niko na blue one, wamenitoa Finland sasa niko japan,) enzi hizo Tigo inaitwa BUZZ..wazaz wakiweka vocha basi unapewa uende nayo dukani. long kidogo
 
kipindi hicho ni buzz na celtel inaingiaingia hata.vocha zilikua kwenye vikaratas kama unavopata ukiangalia balance Atm au zile tunazotumia kwenye EFD. au luku.ukipewa vocha unaambiwa ficha ee
 
Kipindi icho vocha sh5000 tu amna500 wala 1000 ni 5000 na 10000
 
Enzi hizo ukiibiwa au kupoteza simu kama hii unatamani kujinyonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…