Witmak255
JF-Expert Member
- Feb 5, 2019
- 3,264
- 5,403
Ndio...ina maana hujui jambo hili...?We mwanamke, Kuna pesa isiyo ya halali?
Ndio...ina maana hujui jambo hili...?
Hata wewe hufahamu pia???🙄🙄Ipi hiyo mrembo wangu
Hata wewe hufahamu pia???
Pesa haijawahi kushindwa jamani, pesa inamtoa mtu uzeeni inampeleka ujanani, pesa inafanya babu anaitwa baby, pesa inafanya IST iwe gari ya kuhongwa.
No way out vijana na wazee wenzangu tuitafte pesa kwa jasho na damu
Mzee hebu acha zako, hakuna Adobe hapo mkuu
Tena kama wewe ukizipata wallah nakuapia utakua mzuri kuliko hata Nicki minajPesa sabuni ya mwili na roho...iwe ya halali tuu,.kila siku unakuwa mwali/kijana..
Hahahahah kwamba ukikutana nao live wapo na makunyanzi yao Kama kawaNguvu ya photoshop siyo nguvu ya pesa .
Fedha ndo zimewafanya waonekane vijana????
Ni photoshop tuuu narudia tena kichwa cha uzi kiwe unaijua nguvu ya Adobe wewe