Unaijua nguvu ya pesa? Ndio nasisitiza tuisake

Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,264
5,403
Pesa haijawahi kushindwa jamani, pesa inamtoa mtu uzeeni inampeleka ujanani, pesa inafanya babu anaitwa baby, pesa inafanya IST iwe gari ya kuhongwa.

No way out vijana na wazee wenzangu tuitafte pesa kwa jasho na damu
 
Attachments

  • FB_IMG_1559415127426.jpg
    FB_IMG_1559415127426.jpg
    48 KB · Views: 91
sahivi bi sandra akikutana live na babu tifa lazma aombe mechi ya ndondo,,daadeki,,!!!
 
Nguvu ya photoshop siyo nguvu ya pesa .

Fedha ndo zimewafanya waonekane vijana????

Ni photoshop tuuu narudia tena kichwa cha uzi kiwe unaijua nguvu ya Adobe wewe
 
Hawana used wowote Hawa
Maisha tuu yaliwakaba
Pesa haijawahi kushindwa jamani, pesa inamtoa mtu uzeeni inampeleka ujanani, pesa inafanya babu anaitwa baby, pesa inafanya IST iwe gari ya kuhongwa.

No way out vijana na wazee wenzangu tuitafte pesa kwa jasho na damu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom